Mwanadada una-date na mume wa mtu ukitegemea akuoe, hiyo haipo kabisa

Wanawake tunatakiwa kukaa nyumbani kupamba nyumba na kuwafurahisha kwa mapishi matamu, mapenzi na maupendo kama yote. Kujishughulisha kuingiza chochote kitu ni bonus tuu ila sio deni🤣🤣🤣🤣

Msituletee habari za haki sawa hatutaki!!!
Kuna rafiki yangu alimwambia mkewe, inabidi uongeze ujuzi ili tuongeze kipato, mkewe akamjibu...' mambo ya ujuzi sio yaliyonitoa nyumbani, mi kazi yangu ni kukuzalia na kulea watoto, kuhusu kutafuta fedha kwa ajili ya familia ni kazi yako'
 
Safiiiii mwanaume utoke majasho tuleeee
Msivuruge taratibu za Mungu
 
Sawa, je na aliyembebesha ana jukumu lolote katika kulea?
Kulea kwa maana ya malazi, chakula, fees, matibabu, mavazi... ni baba
Mama atafanya usafi(Sabuni uwe umenunua), atabeba mtoto kwenda hosp, atahakikisha malazi na malezi yenu ni safi, mnakula kwa wakati na watoto wanawahi shule.....

Ukitaka haki sawa tunakuUCHEBE😁😁😁😁😁
 
Kulea kwa maana ya malazi, chakula, fees, matibabu, mavazi... ni baba
Mama atafanya usafi(Sabuni uwe umenunua), atabeba mtoto kwenda hosp, atahakikisha malazi na malezi yenu ni safi, mnakula kwa wakati na watoto wanawahi shule
😁😁😁😁😁
ha ha ha ha hayo ni mambo ya kuzeeshana kabla ya umri sasa, kijana wa miaka 30 anaonekana kama mzee wa miaka 70; ni sawa sawa na injini ya IST uweke kwenye fuso
 
Wazazi/walezi na jamii kwa ujumla ifundishe wanawake wabadili mindsets zao ktk kule kuzani maisha ya kujikimu n.k ni hadi awezeshwe na Mwanaume!

Wanawake wanategesha mimba ili kuwafanya watoto vitega uchumi na pengine kujiweka kwenye nafasi ya kufikiriwa kuolewa!

Watu hawaogopi wala kuchukua tahadhari zidi ya maambukizi ya vizuri hatari vya ukimwi tena ,

Je kiwango cha upimaji kikoje labda kina angaza na hospitali watoe takwimu tujue.

Yatupasa kuthamini utu wetu jamani!
 
Imeandikwa: adui amepofusha macho na fikra zao hata wasiweze kuona na kutambua!

Yani mtu hamjapima afya unampaje uchi wako?

Kwanini usipime kwa mbele itakuwaje?

Hujiulizi kwa urahisi huyo mtu atakuwa ameshalala na wangapi?

Je risk profile yake ikoje?

Tutubu, tumche Mungu, tuyashike mafundisho ya Mungu ndipo tutakuwa salama na vizazi vyetu!
 
Inafikirisha sana, lakini ndio maisha yalivyo: drink + Music + relationship
 
Mwanaume/mwanamke kama unawapenda watoto wako na uwaone wakikua na uwaozeshe nakushauri ubadili njia zako!

Tafakari kwa kina!

Na kuacha kuchepuka kama ulishaanza huwezi kuacha hadi neema ya kumjua Mungu uikubali.

Tafuta kujifunza Habari za Mungu.

Jifunze kumcha Mungu kwa kufanya hivyo utaweza kuepukana na uovu ukiwemo tabia ya uzinzi na uasherati.

Imeandikwa: usimtende mke wa ujana wako mambo ya hiyana!
 
ha ha ha mkuu inabidi utoe neno la kinabii
 
Not necessarily. Inawezekana mwanaume amefika mwisho wa mahusiano mabaya na ameamua ku move on na maisha yake na amekuchagua wewe kuwa mwenza kwenye safari yake mpya. Lucky you.
 
Not necessarily. Inawezekana mwanaume amefika mwisho wa mahusiano mabaya na ameamua ku move on na maisha yake na amekuchagua wewe kuwa mwenza kwenye safari yake mpya. Lucky you.
Kama ni hivyo, anatakiwa awe ametoa talaka
 
Back
Top Bottom