Biashara ya tube za tairi za gari

Smart Technician

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
653
824
Nataka kuanza biashara ya kuuza tube za magari. Naombeni ushauri, changamoto na size za tube ambazo zinatoka haraka kwa wale wenye uzoefu na hii biashara. Pamoja na utokaji wake dukani.

Nakaribisha mawazo, ushauri, changamoto na vikwazo huku nikitanguliza shukrani zangu za dhati kwa wote mtakaoshiriki kutoa mawazo yenu.
 
Unaanza biashara ambayo mda mfupi tu haitakuwepo tena. Matairi karibia yote duniani yatakuwa tubeless chini ya miaka mitano.Hayo ni makadirio yangu. Ungelifanya vizuri zaidi kwenye tubeless na sio tubes.
 
Uza tairi kabisa, biashara ya tube hailipi Maana sahv gari zote zinakuja na TUBELESS.
 
Biashara ya tube za matairi zinalipa maeneo ya fukwe za bahari au ziwani watu wanaopenda kuogelea watakodisha au kununua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom