Nini siri ya 'Single Mothers' kujaza social platforms?

Mwanaume hajisifii kupachika mimba na kutelekeza mtoto na mama. Zaa kwa makubaliano na mwenza wako sio kwa bahati mbaya. Hizi mimba za bahati mbaya ndiyo chanzo cha usingle mama.
Tatizo wanawake walio wengi hawajui siku zao za hatari na pia wanajihusisha na ngono zembe. Hawaogopi mimba wala magonjwa.
Wanaume nao uwa wameshabadilika na kuwa fisi mla watu. Wanakumbuka kuna mimba na ukimwi baada ya tendo.
 
Uchumi wa kati huu
IMG_20200806_215337.jpg


Sent from my CAM-L21 using JamiiForums mobile app
 
Single maza wamenfanya kuwachukia watoto,SKU hz vtoto ambavyo vnalelewa na single maza naviona kama vimbwa,wanawake SKU hz wanazaa hovyo kama mifugo inabid bnadam waanze kuliwa
 
Wana msemo wao kuwa, "Wanajichangamsha kufurahi tu" kuna manzi mmoja yeye akiamka asubuhi ni WhatsApp akimaliza hapo Fb akimaliza Instagram then ndiyo akutext akujulie hali.

Akifika kazini muda mwingi yupo online WhatsApp sidhani hata kazi zinafanyika effectively

hahaha nafurahi ila inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom