Recent content by Szczepan Guevara Jr

  1. Szczepan Guevara Jr

    Mwaka wa uchaguzi hii huu

    emanicipate yourself from mental slavery...none but ourselves can free our minds. Tujikwamue kutokana na utumwa wa kiakili. Huu ni mwaka wa uchaguzi. Tutumie vema akili zetu. Hakuna atakayetukomboa.
  2. Szczepan Guevara Jr

    Ni nini itakuwa tiba .....

    Ni nini itakuwa tiba sahihi ya kansa hiimiongoni mwa viongozi wengi wa Kiafrika wanaolazimisha kwamba upinzani ni uhaini??????
  3. Szczepan Guevara Jr

    PAC: Maoni, Maswali, Mapendekezo na Ushauri wa yatokanayo na report ya PAC

    Hii ni balaa kubwa,kila siku wanapiga kelele nchi inaongozwa kwa rushwa na ufisadi wakiwa kwenye kumbi za kanisa kumbe wao pia ni wachora dili za wizi za pesa za umma, ama kweli kanisa katoliki limetuabisha kwa aina ya matoleo ya sadaka hii ilivyotolewa, ni zaka, moja ya kumi ya mapato yao, au...
  4. Szczepan Guevara Jr

    Msaada: jinsi ya ku unlock hii modem ya airtel

    asante sana mkubwa mimi yangu tayari nimeshafungua
  5. Szczepan Guevara Jr

    Halima Mdee aachiwa huru

    Sidhani kama kuna utawala katili na wakidiktena na wakinafiki, Duniani, kwa sasa, kama utawala huu wa Tanzania wa awamu ya nne...Rais Kikwete alikutana na Mbunge wa kawe, Halima mdee wiki iliyopita katika Sherehe za ufunguzi wa barabara..Rais alionyesha urafiki,akampongeza Mdee kwa kuchaguliwa...
  6. Szczepan Guevara Jr

    Huku CCM, China CCP, Tuvifute vyama vya kijamaa

    chama cha kikomunist cha china kimeipeleka china kuwa nchi ya pili kwa uchumi mkubwa dunia. lakini ccm imetupeleka kuwa miongoni mwa nchi masikini kabisa duniani. sasa ujiulize tena ni chama kipi kinachotakiwa kufutwa. Chukua chako mapema ndio kifutwe
  7. Szczepan Guevara Jr

    Orodha Mafisadi wa Elimu Tanzania na Msemakweli

    Hiki ni kitabu kipya kilichoandikwa na Msemakweli Kainerugamba. Kati ya mambo mengine mwandishi anatoa orodha ya majina ya watu vyeti bandia. Baadhi ya “mafisadi wa elimu” ni viongozi wakubwa serikalini. Mfano ni Makongoro Mahanga ambaye tayari ameshakwenda mahakamani kudai fidia kwa...
  8. Szczepan Guevara Jr

    Mahakama ya Kadhi na uzandiki wa wanasiasa uchwara

    UBAGUZI na upendeleo katika utawala wa nchi, ni sumu inayoweza kuangamiza Taifa sawia. Ndiyo maana Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano ya 1977, Ibara ya 13 (2) chini ya kifungu cha “Haki ya Usawa,” inaweka bayana kwamba: “Ni marufuku kwa sheria yoyote iliyotungwa na mamlaka yoyote katika...
  9. Szczepan Guevara Jr

    Kuwa makini kwa hili

    Ernesto Che Guevara wakati anatetea haki za watu chini ya mabeberu alikuwa kiongozi wa mbele kuendesha mapambano sijawahi kuona katika biograph yake kuwa alianzisha mapambano alafu yeye aondoke awaachie wafuasi wake wapambane sasa kwa kiongozi mkubwa kutuahamasisha tuandamane alafu yeye hayupo...
Back
Top Bottom