Srebrina
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 944
- 405
Dah!, aisee umetisha. ngoja na mimi nitakutumie izo namba unifanyie mautundu moderm yangu ya airtel ZTE zile mpya nyekundu zenye 3.7G tuweze tumia line zote, unisaidiage jombii.
hakuna shaka
Dah!, aisee umetisha. ngoja na mimi nitakutumie izo namba unifanyie mautundu moderm yangu ya airtel ZTE zile mpya nyekundu zenye 3.7G tuweze tumia line zote, unisaidiage jombii.
sasa iyo imei niya airtel gani kumbukei kuweka aina kama ni zte au huawei au aina zingine maana nashindwa kuleta jibu sahihi
Dah!, aisee umetisha. ngoja na mimi nitakutumie izo namba unifanyie mautundu moderm yangu ya airtel ZTE zile mpya nyekundu zenye 3.7G tuweze tumia line zote, unisaidiage jombii.
Huawei E153u-2 IMEI 357289042262004 na process nzima ya ku unlock becouse cjui chochote please
Mtaalamu naomba msaada ku unlock modern ya airtel IMEI 862648015537445 na model : MF 190 huaweimbona dashboard yake siioni?
Mtaalamu naomba msaada ku unlock modern ya airtel IMEI 862648015537445 na model : MF 190 huawei
Thanks
utaendelea kutumia ileile software ya airtel na connection name ileile ya airtel au ukipenda unaweza badilisha
hiyo chukua dc-unlocker itafanikisha mzigo wako kwa code utasumbuka sana mpaka ikubali
Naomba msaada msaada ku unlock modem ya ZTE, IMEI yake ni 862648015410718 natanguliza shukrani kwenu wanajamvi.
Weka line tofauti na ya mtandao wa modem yoko. Kwa mfano modem yangu ni ya mtandao wa airtel, nikaweka line voda ikadai code nikaweka ndio ikakubali kukonect. Baada ya hapo natumia line ya voda au tigo au airtel bila shida.
Mi yakwangu hata nikiweka line,ya ttcl hata,haijilock wala nn ni huawei.. Kwann iwe hiv msaada jamani namimi nataka niwe naweza kutumia line zote wakuu