Roga Roga
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 655
- 507
Kwa mnaofuatilia historia ya vyama hivi vya kikomunist CCP na CCM mtagundua kuwa vilipofikia vyama hivi vinahitajika kufutwa kabisa. Nayasema haya kwavkuangalia mfano ufuatao
CCP v/s Hong Kong
Maandamano yanayoendelea huko hong kong kulaani uhuru wao hasa wa kuingiliwa na china katika masuala ya kisiasa inatosha kabisa kukihukumu na kukifutilia mbali.
CCM v/s Zanzibar & Katiba.
Kinachoendelea katika bunge la katiba hasa kwa kasuala yanayohusu zanzibar haipishani na yanayoendelea hong kong.
KUMBUKA CCP NA CCM NI VYAMA RAFIKI SANA NA NI MOJA YA VYAMA VICHACHE AMBAVYO VIMEBAKI VYA KIJAMAA. NI VYAMA AMBAVYO VINAUA NA KUDHURU RAIA AMBAO HAWAWAUNGI MKONO MFANO KOLIMBA, KUWATISHIA AU KUWATEKA RAIA MFANO ULIMBOKA NA WAJUMBE WALIOPIGA KULA YA HAPANA BMK. NI VYAMA VYA KIDIKTETA NA VINAKANDAMIZA DEMOKRASIA NA UHURU WA RAIA WAKE