Recent content by syndicate

  1. syndicate

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Kilolo hakuna usafiri wa umma, gharama za kutumia Bajaji zinazidi kuwa juu

    Nani alete daladala huko kwenu porini barabara mbovu? Mlikuwa na mbunge kwasasa marehemu anaitwa lukuvi toka mwaka 95 katika nafasi mbalimbali za kiserikali na yeye ni mzaliwa wa huko kilolo kwanini amkufanya juhudi za kutosha kurekebisha hizo barabara!?
  2. syndicate

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt. Abubakar: Tukikubali kuvunja amani tutamwambia nini Mungu?

    HUYU SHEIKH ANAMZUNGUMZIA MUNGU GANI?! AU MUNGU WAO WA MACHAWA?
  3. syndicate

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bashe amuomba Rais Samia Nzega iwe mkoa. Rais Samia asema atalifanyia kazi

    Rais anaposema "waziri ameniambia nisieme hapa.......!" inamaana amepew amri na huyo waziri, ina maana mbaya sana.
  4. syndicate

    JamiiForums Tanzania Kwa pira hili hakukua na haja ya kwenda pre season Egypt

    Kwa dalili hizi, fadlu ajitafakari falsafa zake za mpira hazieleweki, anaweza asimalize Christmas.
  5. syndicate

    JamiiForums Tanzania Kwa pira hili hakukua na haja ya kwenda pre season Egypt

    Makosa yanayotugharimu chama langu simba kiasi hata hiyo tarehe 16, Yanga anaweza kujipigia tu simba sc naomba niziweke katika makundi matatu KUNDI LA KWANZA Marking mbovu, najua kocha inawezekana anawafundisha wachezaji kuwa usikabe mtu kaba nafasi, ukweli ni kwamba mfumo wa kukaba nafasi...
  6. syndicate

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo hawavui viatu wakiingia Kanisani? Mbona Musa aliambiwa avue viatu?

    Aliambiwa avue viatu akiwa anaingia wapi!? Kanisani na alikoingia Mussa ni sawa!??
  7. syndicate

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mrisho Ngasa, Victor Wanyama na Denis Onyango kwenye Uzinduzi rasmi wa Kombe la CAF CHAN 2024

    Huyu jamaa hivi ni nani alimwambia kutabasam ni kuonyesha lipengo lake!???
  8. syndicate

    JamiiForums Tanzania Naliomba Jeshi la Magereza lizuie chakula anacholetewa Lissu na ndugu zake maana wana mpango wa kuchafua serikali

    Hivi we mtu akili zako ziko sawa kweli!??
  9. syndicate

    JamiiForums Tanzania Nuclear bomb, wazungu wa AK walikuwa nalo!

    Both were puppets, the true pan Africanist, was kwame nkurumah!!
  10. syndicate

    JamiiForums Tanzania Bongo Fleva ya miaka ya 2000 mpaka 2009 hatuna deni nayo maana si kwa Wasanii hawa

    Kuna Benja wa mambo jambo, mike tee, mez b wa area C(R.I.P), YP(Marehemu) na Y-Dash, Mr. Blue, baby boy, Dogo Ditto(baadae alibadilisha jina akaitwa Ditto) , Gangwe Mobb, Solid ground family (Hotpot family) wa Bushparty, Bongo. Com-Tsquard na Ring on it, Nako 2nako soldiers, Ay Masta...
  11. syndicate

    JamiiForums Tanzania Subaru Forester & Mitsubishi Outlander nichukue ipi?

    Niujge kwenye group kaka, Namba +243854059036
  12. syndicate

    JamiiForums Tanzania John Heche, sasa unaweza kutembea juu ya maji mengi kama Petro, Usiogope

    Ukombozi sio lelemama, baadhi wenye mamlaka wanafahamu, Heche kaza. ukiangalia na kufanya tathmini utagundua kwamba wenye mamlaka wanaogopa sana kelele za nguvu ya UMMA. Heche shikilia hapo hapo, wakati huu ndiyo wakati sahihi wa kujua watu thabiti wa kutembea nao au kuachana nao, Angalia...
  13. syndicate

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia teknolojia ku'bold' hoja kwa wananchi wakati wa kampeni

    Wasalam! I declare! PATRIOTISM FORWARD PIA SIASA NI DINI MPYA. Ni wazi sasa technolojia ina nguvu kubwa kwenye maisha yetu, technolojia ina nafasi kubwa kwenye utendaji wa kazi zetu za kila siku. Uvumbuzi na ugunduzi wa mashine mbalimbali za kidijidali na kirobotiki zimerahisisha mambo mengi...
  14. syndicate

    JamiiForums Tanzania Scout wa kujitolea wa Simba Sports Club

    WELL DONE MDAU, ILA MPAKA SASA SIJAJUAGA SIMBA WANATUMIA MODALITY GNI KUWAPATA WACHEZAJI WAO, UNAKUTA LICHEZAJI WANALIPIGA PROMO YA NGUVU SANA LAKIN LIKIFIKA UWANJANI UWEZO ZERO, LINAZIDIWA NA KUWA OUTSMARTED NA INTERNAL PLAYER AMBAE YUKO NAMUNGO HUKO AU SINGIDA...!! VIONGOZI WA SIMBA LAITI...
  15. syndicate

    JamiiForums Tanzania Hakutakuwa na mechi za saa nane mchana, mechi zitaanzia saa 11 sababu kutakuwa na miundombinu bora kabisa ya viwanja vya mpira

    Boss, hiyo ni vision, ni dream! Kila mtu anaweza ku'pata vision au kuwa na ndoto! (well and good), Hii inaongozwa zaidi na hisia/passion. Elezea ni vipi (strategies) wewe bwana Dennis Robert Shughuru utaweza kutengeneza hivyo viwanja 40,ndani ya miaka minne ya uongozi wako wastani wa viwanja...
Back
Top Bottom