pole sana, nimeipenda story yako, ushauri wangu ni huu: muombe tuu muwe mnakumbushiana maana huo tayari ni kama ugonjwa kwako, akikupigia mwambie tuu kuwa unamuhitaji japo kwa mara moja moja, kama kweli alikupenda atakuelewa, na wewe usigande jumla, wako akirudi jenga maisha. ni hayo tuu.