Haya mapenzi gani sasa?

Haya mapenzi gani sasa?

hahahahaaaaaa,, Ndo maana sishindi hapa.
 
Mwambie amalize chuo kwanza .
wanaume wapo chungu mzima .

Ajitunze yeye kwanza.
 
Preta sio kwamba nimeshindwa, jamaa analalamika why hakutambulishwa hadi mi nimeshindwa kumshangaa!
Wewe ni dada wa huyo mdogo sio........na una familia.........na umeshindwa cha kumshauri.........?........dah......aiseee........
 
Last edited by a moderator:
Huyo ni mchumba au boyfriend???

Mchumba si angekuwa ashatambulika kwa familia????

Mwambie mdogo wako asome mapenzi yapo tu
 
tracy jamaa ana bifu nyingine kuwa mdogo hampi papuchi mana ndo walivokubaliana wakati wanaanza mahusiano. Nahisi ndo mana jamaa amemtema, dogo bado b.i.k.r.a
dada tracy habari yako
 
Last edited by a moderator:
tracy jamaa ana bifu nyingine kuwa mdogo hampi papuchi mana ndo walivokubaliana wakati wanaanza mahusiano. Nahisi ndo mana jamaa amemtema, dogo bado b.i.k.r.a

acha bana...
 
Last edited by a moderator:
afrodenzi mdogo anajitunza ndo mana jamaa amemwacha coz dogo hajawahi kumpa papuchi

Basi huyo jamaa acheze mbele.
mwambie mdogo wako asifanye kitu ambacho hayuko tayari kufanya
ajili ya kumfurahisha mtu mwingine maana atakuja kujuta baadaye.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe dada wajua sababu ni mdogo wako kujitunza,sasa unaomba ushauri gani tena!!
 
Back
Top Bottom