Munaongelea 1trillion? Hahaha hapa kuna watu wanasema bora wangekua majeruhi wa ajari ya moto wajipatie laki 5 za mkuu...
Trillion moja ni nyingi mno..nakazia! Mno.
kwani huyo pengo ni nani katika TEC?.(NI MJUMBE TYU)... KAma tec washatoa waraka wao pengo ANATOA TU MAWAZO YAKE KA WANANCHI WENGINE. kanisa katoriki linaongozwa na mkuu wa baraza la maaskofu TEC ambaLO MWENYEKITI WAKE NI ni NGALALEKUMTWA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.