Kama hujaona hizi basi bado sana

Kama hujaona hizi basi bado sana

We jamaa kuna vitu unavijua ila siyo movie nzuri kwa kuja kufungulia uzi hapa jf....any way no mawazo yako
 
Hiyo behind the enemy line hasa ile ya kwanza ya rubani wa usa nchini bosnia ni fire.
Jamaa alifika sehemu akaona watu kama wabacheza kamba kumbe wanaruka mabomu ya kutegwa ardhinu hahaaaaa....yule jamaa, Hackshaw Ridge na Bruce Wills ktk we were soldiers ni inspirational tosha ya kuingia kwa army hahaaa.
 
Sasa et unatuwekea tu muvi twa kuanzia 2013 ulivoingia chuoni ndo unasema "of all time"

Yaan vitoto bana!
[emoji28][emoji28]
 
Naona sisi wa Muvi za akina Rambo, komandoo John, komandoo Kipensi, No retreat no surrender, Chuck Norris, Michael Dudikoff, Bruce Lee, Jack Chain, nk enzi za Video Show; hatuna chetu hapa.
 
1,5 na 6 nimeona ni za kawaida mno, sana . Yani hazina maajabu yoyote.
 
So u are done?...right?
images%20(14).jpeg
 
Naona sisi wa Muvi za akina Rambo, komandoo John, komandoo Kipensi, No retreat no surrender, Chuck Norris, Michael Dudikoff, Bruce Lee, Jack Chain, nk enzi za Video Show; hatuna chetu hapa.
Umenikumbusha wahen ga wetu hawa wana vitu vipya......Rambo a.k.a Sylvester Stallone ana mpya ya 2019 known as BACKTRACE pia
Komando John pia ana mpya this August kama sijakosea inakwenda kwa jina la TERMINATOR 6 DARK FATE.
Jack Chan hasa lile dude lake moja hatari la wakati wote DRUNKEN MASTER jambazi Chansii, Pia wazee wa THE HARD WAY bila kumsahau Jean Claude Van Damme. Wakati unakwenda kwa kasi sana.
 
1.Mission Impossible(zote)
2.Out of Time.
3.Tears of The Sun.
4.Sholay.
5.House of Wax.
6.Uknown.
7.Takken.
8.Timeline.
9.Saving Private Ryan.
10.Sex and Lucia.
 
Bado hujaona movies mkuu, huwezi huweka best 10 kama hiyo.
1.Mission Impossible(zote)
2.Out of Time.
3.Tears of The Sun.
4.Sholay.
5.House of Wax.
6.Uknown.
7.Takken.
8.Timeline.
9.Saving Private Ryan.
10.Sex and Lucia.
 
Kuna kitu cha apocalypto cha mel gibson kifupi ni kuna movie nyingi mno ambazo ni kali sana kuna moja hivi nadhani inaitwa 2002 kuna lone survivor(hii ni kali mno) behind the enemy line ,the bodyguard from beijing,
Mkuu umenikumbusha kitu cha tai chi na fearless daah..zile kitu jet lee alicheza aseee..
 
Kwenye ulimwengu wa movie hzo nazo zimo?? Ebu kuwa serious bas [emoji849][emoji849][emoji849]
 
Yani ulizotaja hata sijaona kama ni the best aisee
 
Back
Top Bottom