Recent content by Swahili_Patriot

  1. Swahili_Patriot

    Familia ya Hayati Magufuli: Tumeacha muda ujibu, hatutajibu mtu yeyote

    Unachokisema ni factual ndani ya kichwa chako. You're not worth my time, ila sometimes it is better to stay silent for people to think you're stupid than talking to prove them right.
  2. Swahili_Patriot

    Familia ya Hayati Magufuli: Tumeacha muda ujibu, hatutajibu mtu yeyote

    Akili zako fupi sana. Naomba uniwie radhi kwa kukwambia ukweli ulio uchi. Kwanza Sitaki kuamini kuwa umevuka past form5. Ushauri tu, acha kusikiliza hadithi alafu kuja kupayuka ulivyovisikia kwa wachambuzi wa kisiasa n uchumi wa mchongo. Wenzio wanaongea visivyoingia akilini makusudi kuyatetea...
  3. Swahili_Patriot

    Mpaka leo shule za Tanzania hazifundishi watoto IT, majirani wanaonesha nia wanapewa grants kujipanua na kulamba mishahara takehome milioni 20+ majuu

    Wenzetu wamekuja na idea ya science projects. Hapa wanafunzi wanakuja na uvumbuzi. Kisha wanaandika procedures from step 1 hadi ya mwisho kuufafanua uvumbuzi wako. Kwenye hizi projects, wanafunzi hupresent mbele ya lectures na kupewa marks. Hizi science spheres huanza kwa level ya kata, wilaya...
  4. Swahili_Patriot

    Mchezaji gani wa nje amekuwa bora zaidi wa muda wote kwako?

    Ebwanae, hakuna mchezaji aliyenikonga kama haruna niyonzima. Uchezaji is an art. Sikuwahi kuchoka kumuangalia alipokuwa anacheza. Kwa lugha nyingine, mpira ulimpenda kuliko yeye alivyoupenda. Alikuwa analicommand gozi na lilikuwa linamtii kwa utuo. Pasi zenye maono zilikuwa zinatumwa na kufika...
  5. Swahili_Patriot

    Kuwa wakala wa p2p binance

    Risk zipo ndani ya muda mrefu. Ila kama ni uwekezaji wa miaka 5+ profit yake inastahili kusubiriwa. Invest na usiwe n tamaa n pesa yako
  6. Swahili_Patriot

    Baadhi ya Features za kuzingatia utakavyopanga kununua gari lako lijalo

    Tatizo umeicopy n kuipaste bila kujifanyia detailed analysis. Ninaamini hiyo list ni kwa ajili ya watu walioendelea. Kuna vitu sisi tunahitaji kuvipa kipaumbele kabla ya vilivyotajwa hapo juu kama: 1. Ulaji wa mafuta 2. Stability maana barabara zetu haswa highway zina mabonde mabonde sana...
  7. Swahili_Patriot

    Maafa ya mvua Julius Nyerere hydropower electric dam

    Ni takriban wiki 2 sasa tangu nilipoiona habari ya mafuriko ya Rufiji dam. Habari ilieleza kuwa sio chini ya kaya 1000 zimeathiriwa na maji ya mafuriko yaliyotokana na maji kujaa kwenye dam kutokana na mvua nyingi. Frankly nilitamani kujua mengi zaidi kwenye hili. Kwa waliopo karibu na eneo la...
  8. Swahili_Patriot

    Je, huwa unafuatilia uwasilishwaji wa Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)?

    Umuhimu wa hii ripoti ni kutujuza ni nani na nani ameongezeka kwenye list ya mabilionea wapya tu. Nje ya hivyo labda itakuwa ni sehemu ya burudani tu kama muziki au kipindi cha uswazi
  9. Swahili_Patriot

    Kumbe Azam amecheza leo?

    Wajomba wa 5g aka mwakarobo wana vijembe😂😂😂
  10. Swahili_Patriot

    Irani na Israeli wana Undugu usioyumba, Makombora 300 ya Irani naona kama ni Propaganda

    Umeeleza historia za bc na ac, zilizopendwa. Taifa la Israel hadi sasa limeshapigana na kila nchi zinazoizunguka. Ameshapigana na wairan zaidi ya mara 3. Kila baada ya miaka 4 lazima atwangane na jiran yake. Jana hata jiran mmoja wanayependana nae, kwasababu muisrael anajiamini yeye ndiye taifa...
  11. Swahili_Patriot

    Waarabu wakija kushtuka, tayari watakuwa wamemalizwa kwa unafiki wa Iran

    1. Umeongea kwa shauku, hauujui mustakabadhi wa hii vita( mauaji ya kinyama) na significance yake ni nini. 2. Hauijui dini imeongelea nini kwenye hii vita. 3. Haufuatilii siasa ya dunia 4. Hauja chunguza chanzo cha mauaji haya, historia za haya mataifa mawili na haujaumiza kichwa kujua muelekeo...
  12. Swahili_Patriot

    Tetesi: Inadaiwa Clement Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

    Sio kweli. Kwa timu za ligu kuu, kima cha chini cha salary kwa wachezaji ni laki5. Kwa njia yeyote, haiwezekani mzize kuongezewa laki tu juu ya standard salary ambayo ni hiyo laki 5. Inawezekana ila wastani wa kuwa hii taarifa ni ya kweli haufiki asilimia20. Hata hivyo, yanga kama yanga haijawai...
  13. Swahili_Patriot

    Haya ni mambo 25 ambayo hujawahi kuyajua kumhusu paka

    Mate ya paka ni antiseptic, so anauwa bacteria wotee kwa kujilamba Paka ni miongoni mwa wanyama wasafi zaidi. Hujisafisha kwa kujilamba. Paka ndio mnyama pekee anayeweza kuabsorb negative energy kutoka kwa binadamu. Paka hawezi kuishi n mtu mwenye roho mbaya nyumba moja
  14. Swahili_Patriot

    Iran yaishambulia Israel kwa makombora

    Kama distance btn them ni sio chini ya 2500km basi hii itakukuwa a mechanical war na sio a physical one. Hii ni mbaya sana. Makombola, drones na airforce kwa ujumla vyote vitachangia tuikaribisha vita ya3 ya dunia. Iran atapondwa, nchi za mashariki n kati na sehemu nyingine za kiislamu...
  15. Swahili_Patriot

    To you Ephen

    Enzi zetu tulikuwa tunaiita hii kama mistari au love vibes. Ila, hizi ni hisia zilizoandika. I know what goes up must come down, but still conquer that this is the best feeling that we all covet to have in our lives. Shida, it just ain't eternal
Back
Top Bottom