Recent content by Swagger is alive

  1. Swagger is alive

    JamiiForums Tanzania Mvomero: Mifugo inakufa kutokana na Ukame

    Mkuu alishasema wabadilishe Debe moja la mahindi kwa Ng'ombe wanne.
  2. Swagger is alive

    JamiiForums Tanzania Pakistan yapiga marufuku Valentine Day

    Trump akiwapiga marufuku wanaanza kulalamika
  3. Swagger is alive

    JamiiForums Tanzania Makonda: Leo usiku mtausikia moto utakaowaka katika viunga vya Jiji la Dar.

    Mi Mpaka nakwenda mitamboni sijaona moto wowote
  4. Swagger is alive

    JamiiForums Tanzania China yapinga ujio wa meli ya kisasa yenye teknolojia ya hali ya juu ya jeshi la Marekani

    I M Mkuu sisi bado tunanunua meli chakavu then tunakabidhi jeshi ili wananchi wasijadili!
  5. Swagger is alive

    JamiiForums Tanzania Makonda: Ukiona tumekuita ujue tumekusoma miaka kumi iliyopita

    Huyu jamaa ni limbukeni wa madaraka.
  6. Swagger is alive

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Makonda hana mamlaka anayojidai nayo ya kuhamisha watu

    Lissu ni hazina kwa Taifa hasa kipindi hiki ambacho viongozi wanajiona wapo juu ya sheria. Ndio maana tunauhitaji uongozi wake hasa pale TLS
  7. Swagger is alive

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Tiagi Masamaki?

    Anakula pension
  8. Swagger is alive

    JamiiForums Tanzania Makonda: Taratibu za kumwita bungeni zifuatwe

    Na leo wamerudia kosa Lile Lile
  9. Swagger is alive

    JamiiForums Tanzania Magufuli shujaa, ataka 68 wa madawa wanyongwe! Kikwete alikuwa dhaifu mno, aliomba wasinyongwe!

    Hata Mimi nimemuelewa Paskali. Mada za huyu jamaa ni za kuangalia kwa jicho la Tatu. Ukiingia kichwa kichwa hautamuelewa
  10. Swagger is alive

    JamiiForums Tanzania Magufuli shujaa, ataka 68 wa madawa wanyongwe! Kikwete alikuwa dhaifu mno, aliomba wasinyongwe!

    Anataka namba zote moja na kumi.
  11. Swagger is alive

    JamiiForums Tanzania Hadi leo Manji bado ameshikiliwa na Polisi

    Umasikini ni mbaya sana hasa Umasikini wa kipato na akili.
  12. Swagger is alive

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Magufuli ina upendeleo maalum kwa Paul Makonda? Kwanini hili liwe la kipekee kwake?

    Sasa hivi ni zamu ya watu wa kanda ya ziwa.
  13. Swagger is alive

    JamiiForums Tanzania Serikali imuunge mkono Askofu Dr. Gwajima katika mpango wa kununua Treni ya Mwendo kasi

    Kile ambacho kinatumia masaa 6 dar to bagamoyo
  14. Swagger is alive

    JamiiForums Tanzania Serikali imuunge mkono Askofu Dr. Gwajima katika mpango wa kununua Treni ya Mwendo kasi

    Sirikali ya Baba Sizonje inamuonea wivu
  15. Swagger is alive

    JamiiForums Tanzania Mbowe lazima aende akajibu shutuma inayomkabili

    Wauza sembe Wote wanajulikana. Na wengi wao ni wafadhili Wenu huko Lumumba
Back
Top Bottom