Makonda: Taratibu za kumwita bungeni zifuatwe

sam2015

Senior Member
Dec 20, 2015
107
112
" Hilo suala la Mimi kuitwa kwenye Kamati [ ya Haki , Kinga na Madaraka ya Bunge ] Mimi nimelisikia na kulisoma kwenye magazeti. ..... sijaletewa barua rasmi ". Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam.

Hii ni hoja ya msingi Sana. Nakubaliana na ndugu Makonda. Lazima kuwe na wito rasmi Ndio uitike wito.

Bahati mbaya Sana mlalamikaji alitumia njia hiyo hiyo kutuhumu watu hadharani na kuwaita watu waende polisi. Gwajima alipewa barua? Manji alipewa Barua? Mbowe mumempa barua? Wasanii wamepewa barua? Si waliitwa kwa kutumia TV?

Kweli Mkuki wa Nguruwe.

Bunge litamwita Mkuu wa mkoa wa Dar na mwenzake DC wa Arumeru kwa wito wa kisheria ( Amri ya kufika mbele ya Kamati). Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge ina mamlaka ya kimahakama na inaweza kumfunga mkaidi.

Sasa nasikia wameagizwa wasiitikie wito. Tutaona kati ya ubabe na sheria mshindi Nani.

Chanzo: Zitto Kabwe
 
[QUOTE="sam2015, post: 19702716, member:

Sasa nasikia wameagizwa wasiitikie wito. Tutaona kati ya ubabe na sheria mshindi Nani.

Chanzo: Zitto Kabwe[/QUOTE]

Zitto usipende kushindana, hapa huna tofauti na Makonda kwa jinsi ulivyohitimisja hoja yako! Kwa kifupi umejitimisha ovyo kabisa!!
 
" Hilo suala la Mimi kuitwa kwenye Kamati [ ya Haki , Kinga na Madaraka ya Bunge ] Mimi nimelisikia na kulisoma kwenye magazeti. ..... sijaletewa barua rasmi ". Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam.

Hii ni hoja ya msingi Sana. Nakubaliana na ndugu Makonda. Lazima kuwe na wito rasmi Ndio uitike wito.

Bahati mbaya Sana mlalamikaji alitumia njia hiyo hiyo kutuhumu watu hadharani na kuwaita watu waende polisi. Gwajima alipewa barua? Manji alipewa Barua? Mbowe mumempa barua? Wasanii wamepewa barua? Si waliitwa kwa kutumia TV?

Kweli Mkuki wa Nguruwe.

Bunge litamwita Mkuu wa mkoa wa Dar na mwenzake DC wa Arumeru kwa wito wa kisheria ( Amri ya kufika mbele ya Kamati). Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge ina mamlaka ya kimahakama na inaweza kumfunga mkaidi.

Sasa nasikia wameagizwa wasiitikie wito. Tutaona kati ya ubabe na sheria mshindi Nani.

Chanzo: Zitto Kabwe
Lakin mzee kumbuka kuitwa polisi hakuna haja ya barua... ili likumbukwe viongoz wote waitwao polisi hawatumiwi barua.. lakn kuingia bungen au kuitwa bungen ni lazima uende barua...
 
Back
Top Bottom