Wapo Jera Baba na kampuni yao ya minara inashikiliwa asaiv hali mbayaBila kusahau wale jamaa wa milioni kadhaa kwa kila dakika sikuizi hakuna cha taarifa ya habari wala magazeti au ndio kusema vyombo vyetu vya habari vilirambishwa?....maana mwanzoni kila walipo pelekwa mahakamani tulijuzwa kwa tv na magazeti lakini sikuizi kimya
Wapo Jera Baba na kampuni yao ya minara inashikiliwa asaiv hali mbaya
Nasikia Said Hana hata IST asaiv despite mbwembwe nyingi na shutuma za camera