Au ndo ule wa Waterfront?
Mkuu mie niliuona moto gesi ya Mihan jana hapa home wife alikuwa anakaangiza birianiManeno Ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda. Feb 13,2017.
Leo ni Feb 14, 2017. Kama kuna aliyeuona huo moto atujuze wakuu.
Mbona umeshawakaaa???labda majikoni saa ya kupika,au alikuwa anahubiri injili?!
Ndio huo mkuu hamna moto mwingine kwani wewe jana wife hajawasha moto usiku????????Labda alimaanisha moto wa kupikia majumbani kwetu
Nimeuona moto wa mkaa aliowasha wifeNdio huo mkuu hamna moto mwingine kwani wewe jana wife hajawasha moto usiku????????
Ulionekaa jana mapema kabla ya usiku kwenye jengo la waterfront...aiseee jamaa hatari akisema kitu kinatokea kweli...Maneno Ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda. Feb 13,2017.
Leo ni Feb 14, 2017. Kama kuna aliyeuona huo moto atujuze wakuu.
Nb: Mods naomba huu uzi muupe nafasi tuweze kupata mrejesho!