Recent content by Survival

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mlevi, mzee wa kupiga hesabu baada ya matumizi

    Hatariii kabisa,ilishawahi nitokea,nilitamani nipotelee usingizini
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

    niaje brooo???bado upo Katoro???
  3. S

    JamiiForums Tanzania Sioni faida ya kalio kubwa kitandani

    Joanah huwa unanikosha niaje??/umeolewa??
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msichana wangu anasumbuliwa x wake

    Mkuuu inaelekea uliingia kwa gia ya kuoa ndio maana demu akaamua ampige chini huyo jamaa unaedai ni X wake
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu ushauri nilioomba

    Pole sana mkuuu,ila umefanya makosa kumwambia ukweli,ilitakiwa umuache kimya kimya
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kuachana na mpenzi wa muda mrefu

    Duh!!!!!!!miaka mitano afu anakuacha kirahisi rahisi hivyo????????bila shaka huo mwili wako atakuwa anaujua vizuri kama wimbo wa Taifa...... Pole sana mamiiiiiiiiiii,me nashauri mwachie Mungu
  7. S

    JamiiForums Tanzania MAHUSIANO YA MBALI

    Kama Westen Union & Money Gram zinasoma komaa nae
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nilimpotezea huyu mwanamke kwa hii kauli ya kishenzi

    Movie linaanza stelingi anadumbukia kwenye shimo la chooooooo:p:p:p............pole sana mkuuu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Simuachii Mungu, nalipa kisasi

    Mkuu unasali dhehebu gani?????ni vyema ukashiriksha viongozi wako wa dini wakuongoze sala ya Toba kwa kuwa ulikuwa ukizini na usamehe maisha yaendelee
  10. S

    JamiiForums Tanzania Miaka yetu na uanamke wetu.... uke ilikuwa unatunzwa sana

    Mdogo wake atakuwa ameshamfundisha niaje niaje
  11. S

    JamiiForums Tanzania Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

    Pole sana mkuuuu,hiyo tunaita win lose situation............ila utamwaminije mwanamke kindezi hivyo?????
  12. S

    JamiiForums Tanzania Miaka yetu na uanamke wetu.... uke ilikuwa unatunzwa sana

    Ma Mshuza ....nimekupenda bure...hauna mdogo wako wa kike unipatie?????
  13. S

    JamiiForums Tanzania Usicheze na Mwanamke akiamua ameamua

    mkuu hapo nadhani utakuwa umepata cha kujifunza.........am sure ukipata mwengine hutocheza na hisia zake
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mpenzi wangu akipost picha za rafiki zake wa kike status naumia sana

    Nyie si mnataka usawa???na wewe kuwa unapost rafiki zako wa kiume kuwatakia heri ya siku ya kuzaliwa
  15. S

    JamiiForums Tanzania Demu wangu ananisumbua,nifanyeje ili nimuache?

    Pole sana mkuu,hapo ndipo unapoona kwamba sometimes pesa siyo kitu kwenye mahusiano.
Back
Top Bottom