StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 5,620
- 5,894
Hapo ile principle ya UKINAIFU inakuwa ipo kazini.
Ni wanawake wachache ambao huwa ukiwapenda wanarufisha upendo kwa upendo. Wengi ukionyesha kuwapeda sana ni wanaanza kujisahau. Hata mawasiliano yanafifi maana wanajua muda wowote unapatikana wakikutaka. Wengi huwa mnajisahau.
Ile effort kabla hamjawa wapenz inakuwa kubwa. Mkifanikiwa kuingia kwenye mapenz. Effort inashuka.that according to my experience. Ukitaka na evidence ninazo.
Na pia kuna research juu walizofanya wana sayansi kuhusu ilo

mkuu.
ivi ule mpango ya kando usha oa.