Kuachana na mpenzi wa muda mrefu

Kuachana na mpenzi wa muda mrefu

Aisee.. Hili ni jambo gumu. Nilkua na mpenzi wangu tuliodumu miaka 5, sasa amebadilka bila sababu, mawasiliano yamekua adimu kama kaka kuona. Anazima simu hata wiki mbili bila sababu maalum. Nafikiria kuachana nae kwa kumblock kila sehemu, kwa wenzetu wanaita 'ghosting'. Je wakuu nitakua nafanya sawa kama mtu hanitafuti hadi akiwa na shida. Yani level yake ya inconsistency imekuwa too much. Wadau naomba ushauri wenu

In essence we ndo unaachwa. Kwa hiyo tulia hapo uachwe. Usiseme we ndo umemwacha.
Mwanaume huezi muacha mwanamke coz huezi jua lini nanihii zitakupanda akusaidie kuzishusha. Kwa hiyo unamdemote to side chick tu!
Its rude and hard to swallow but hey, truth be told!
 
Aisee.. Hili ni jambo gumu. Nilkua na mpenzi wangu tuliodumu miaka 5, sasa amebadilka bila sababu, mawasiliano yamekua adimu kama kaka kuona. Anazima simu hata wiki mbili bila sababu maalum. Nafikiria kuachana nae kwa kumblock kila sehemu, kwa wenzetu wanaita 'ghosting'. Je wakuu nitakua nafanya sawa kama mtu hanitafuti hadi akiwa na shida. Yani level yake ya inconsistency imekuwa too much. Wadau naomba ushauri wenu
Duh!!!!!!!miaka mitano afu anakuacha kirahisi rahisi hivyo????????bila shaka huo mwili wako atakuwa anaujua vizuri kama wimbo wa Taifa...... Pole sana mamiiiiiiiiiii,me nashauri mwachie Mungu
 
Pole naona utamu wote umekwisha ndio maana kaamua kukupotezea, miaka 5 si haba jamaa kafaidi papuchi si mchezo...

Piga konde achana nae, kaa tulia fanya mambo ya msingi, muda ukifika atakuja ambaye atakupenda kwa moyo wa dhati...
 
Miaka mitano bado mnaitana wapenzi? Ushakabidhiwa hicho cheti chdegree ya udaktari?
 
Duh!!!!!!!miaka mitano afu anakuacha kirahisi rahisi hivyo????????bila shaka huo mwili wako atakuwa anaujua vizuri kama wimbo wa Taifa...... Pole sana mamiiiiiiiiiii,me nashauri mwachie Mungu
Tupunguze kumpa Mungu mizigo ambayo tunaeza kuibebaaa
 
Ukiona manyoya ujue keshaliwa, jiongeze aisee potea kwa spidi zote.
 
Kama amefanya hivo Ni mwanaume umeachwa tu, the sooner the better.

Huyo kakuacha tayari sema ana feel guilty kutamka.

Narudia tena umeachwa.

Umeachwa.

Ujinga wa wanaume uwaga hatuhesabu Miaka tuliyokaa na mwanamke kwenye mahusiano uwaga tunaangalia,Je mwanamke atafaa kwa ndoa au mahusiano ya mda mrefu au hafai?Kama hutoshi unaachwa vizuri tu bila shida yeyote hata km tumedumu Miaka 20, kwenye mahusiano.

Usithubutu kuwaza vinginevyo,utajutaaaaa
 
Kaa na mwenzako ikiwezakana mfuate na PM kabisa mwambie keshaachwa tayari the sooner the better.
ukishajiingiza kwenye mapenzi mawasiliano ndio nguzo tena hasa mapenzi yenyewe yakiwa ya mbali

Ukishaona mtu anaamua tu from no where anazima sim bila taarifa na hata akipatikana hakupi majibu stahiki unamulika mwizi tu

Kuna watu ambao s rahisi kukutamkia tuachane lakini matendo yake kwako yakaashiria dalili zote za pendo hilo kufika tamati na kuvunjika sasa ni mlengwa tu kujiongeza

Yan unakua na mpenzi and then unaishi maisha kama uko single ajiongeze tu apotee na yeyr hata asimblock akae kimya na yeye

Unaweza ukasema waitane waongee lakini amini mtu akishatia nia jambo lake kumgeuza arejee pa awali ni ngumu hasa nafsi ikishatoa maamuzi ubongo nao ukashiriki anaweza jibu ntajirekebisha halaf yakaja kua mabaya zaidi
 
Piga chini hakuna namna. Huo ndo ushauri wetu siku hizi kwanza kwenye mahusiano ni stres tu kuliko kuwa single
 
Miaka mitano ni mingi sana kua in a relationship...

Hamuwezi kuachana kirahisi rahisi au kizembe hivyo....

You need to find the reason why over a suddenly all the changes...

Cc: mahondaw
 
Aisee.. Hili ni jambo gumu. Nilkua na mpenzi wangu tuliodumu miaka 5, sasa amebadilka bila sababu, mawasiliano yamekua adimu kama kaka kuona. Anazima simu hata wiki mbili bila sababu maalum. Nafikiria kuachana nae kwa kumblock kila sehemu, kwa wenzetu wanaita 'ghosting'. Je wakuu nitakua nafanya sawa kama mtu hanitafuti hadi akiwa na shida. Yani level yake ya inconsistency imekuwa too much. Wadau naomba ushauri wenu

Pole sana, ila na wewe why unadate miaka mingi hivyo . Unadate Mwaka tu kama hajajua wewe ni mke unasogea pembeni.

Okay huyo hapo hakuna kitu, samehe anza upya please. Mwanaume akae week bila kukutafuta na yupo mzima kabisa 🥴🥴 Ni maumivu. Move on sweet heart, I know inauma but unaweza. Yaani msahau, funga kitabu jiandae kwa project mpya but be careful.
 
Mleta mada Kama huyo mlengwa yupo kimya nawewe kaa kimya..simple tu
 
Mapenzi yakiisha kinachobaki ni mazoea....unaweza ukiamua
 
Sasa mtu hakutafuti unahangaika nini 'kumblock'? Endelea na hamsini zako hayo mapenzi yenu yatakutana na 'natural death'
 
Sasa mtu hakutafuti unahangaika nini 'kumblock'? Endelea na hamsini zako hayo mapenzi yenu yatakutana na 'natural death'
Mimi kuna wanawake zangu huwa sina time nao kabisa unashangaa mtu ananipigia bby vipi wikiendi unakula pekeyako? Najistukia tu namuita namla namtosa anaanza kunitumia msg ohh nimekumiss hunijali, khaa sina hata mpango na wewe. Ndo uyo mtu wako anavyokuona wewe.
 
Back
Top Bottom