Mkuu, nna wasiwasi kidogo na hoja uliyoitoa. Unaposema fungueni madrasa za kutosha, in one way or another unalenga itikadi zako za udini,but wanaharakati tunaendelea kuwaamsha watu waliolala usingizi tena kwa usingizi wa pono, ili waepukane na itikadi zenu ambazo zina lengo la kukandamiza upande...