Lipumba; CCM bye, bye, bye Tanga.

Lipumba; CCM bye, bye, bye Tanga.

Mkutano wa kumpongeza diwani ndio uiondoe ccm? Nadhani huko ni kujifariji.
 
Haki sawa kwa wote

Haki huleta Maendeleo

Haki huleta Amani na Utulivu

CUF chama cha kutetea wanyonge Tanzania, safi sana Lipumba

Kweli mwenyekiti kushnei, sasa dili zetu zimebakia kwenye UDIWANI wa vichochoro vya pwani, dah!
 
mwenyekiti wa Cuf Prof Lipumba hivi sasa akimaliza kuwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Tanga waliojitokeza kumsikiliza katika mkutano wa kuwashukuru wakazi wa mji wa tanga kwa kumchagua diwani wa cuf katika kata ya msambweni, ambapo aliwasili jana saa 10 na kupokewa na umati mkubwa wa wakazi wa tanga ambapo alifanya kazi ya kufungua matawi zaidi ya 50 na leo kufanya mkutano mkubwa wa hadhara ambao haujawahi kutokea,

Kweli nyie ni waadilifu, yaani mmeshajua kiwango chenu ni UDIWANi na ndio maana hamkutia mguu Arumeru. Sasa mmeshapata udiwani fungueni madrasa za kutosha
 
People shouldn't cry over spilt milk, they should instead sprinkle some lime on it to prevent the milk from curdling, which could cause a horrendous smell and attract flies. CUF isn't only crying over spilt milk, it is bawling! Like some drowning creature, CUF is trying to clutch at straws, a near impossibe task what with the wind so strong. Who will be the party's presidential candidates come 2015? I wonder...! Reminds me of the following scenario;


stupid_genius_17.jpg

Whenever I think of CUF, the picture that comes to mind is a party that has been in power for almost 50 years,
Guess WHO?

stupid_genius_16.gif


or this

stupid_genius_14.jpg



images


 
CUF ni chama pekee cha upinzani tangu kuanzishwa kwa vyama vingi kuingia serikalini kwa upande wa Zanzibar kwa mujibu ya katiba ya zenj; tuna madiwani wengi bara kupata chama chochote cha upinzani;

Wenye wivu na chuki watalia sana...na kungoja sana...
 
Strategically CUF itasaidia sana kuiangamiza CCM kunako 2015 kwa kuzoa kura Lindi, Mtwara, Pwani na Dar. Huku maeneo yote dume chama dume CDM linatumia nguvu ya umma kuiondoa ccm na thereafter ukarabati wa magereza unaanza kwa ajili ya kuwafunga mafisadi wa ccm.

CDM itachukua maeneo yenye wakristo na wachaga wengi hasa kaskazini
 
Lipumba ndiye anayefaa kuwa kiongozi wa nchi hii, but now days watu wanapiga kura kwa kufuata itikadi fulanifulan na sio kuangalia sera safi kama anazozitoa Prof. Katika wagombea wote wa nafac ya Uraisi Lipumba ndiye anayestahiri, kwani alishawai kusema yeye ni mlima kilimanjaro na wengine vichuguu mkakasiriiika!
 
sidhani kama cuf ina njia nyingine ya kujiokoa zaidi ya kuboresha uhusiano wake na kifo.
 
Mkuu, nna wasiwasi kidogo na hoja uliyoitoa. Unaposema fungueni madrasa za kutosha, in one way or another unalenga itikadi zako za udini,but wanaharakati tunaendelea kuwaamsha watu waliolala usingizi tena kwa usingizi wa pono, ili waepukane na itikadi zenu ambazo zina lengo la kukandamiza upande mmoja.
 
CUF na CDM watagawana kura mkuu!
kisha ccm itashinda kiulaiiiini kwa kuwa katiba ya sasa ni wengi wape, hata kama akishinda kwa zaidi ya kura 1 ndio mshindi huyo!

Mkuu hapo umekosea kiduchu,ccm na cuf ndio watagawana kura 2015,CDM itashinda kwa zaidi ya 48%
 
CDM itachukua maeneo yenye wakristo na wachaga wengi hasa kaskazini

CDM haina udini,ukabila wala urangi,pole kw wote wanaoendelea na propaganda za kijinga kama wewe kwani hizo ni 'NI ZILIPENDWA' ENZI ZA MWALIMU
 
CDM tukichukua ikulu Lipumba ata kuwa mshauli wa mambo ya uchumi.

Ninyi vijana wa kisasa mbona huwa hamtaki kujifunza,tena kutoka katika historia?

Tunapolia na uchumi wa nchi yetu,Lipumba ni mmoja wa watu waliotufikisha hapa.

Enzi za Rais Mwinyi,Lipumba ndiye aliyekuwa mshahuri wake wa Uchumi Ikulu,Nini alilofanya alituletea ruksa ambayo mpaka leo inatutesa,ndiyo ulikuwa mwanzo wa kuuwa viwanda vyetu.

For that reason nothing new.
 
Hivi CUF kumbe bado ipo mioyoni mwa watu..... nilifikiri imeshakufa kitambo baada ya kujigeza na kuwa sisiemu B.
 
CUF ni chama pekee cha upinzani tangu kuanzishwa kwa vyama vingi kuingia serikalini kwa upande wa Zanzibar kwa mujibu ya katiba ya zenj; tuna madiwani wengi bara kupata chama chochote cha upinzani;

Wenye wivu na chuki watalia sana...na kungoja sana...

Mna madiwani wangapi bara mkuu? Je kuna halmashauri mnayoiongoza huku bara?
 
Back
Top Bottom