Kwa ninavyo juwa na ilivyo kawaida mke ndiye hutalikiwa na watoto hubaki halali ya baba ndiyo maana hata ubini huwa hau badilishwi hivyo kama baba halisi wa watoto wa mama aliye talikiwa atawakana basi huyu baba kambo ni lazima awa asili watoto hao ili awe na halali ya kuwa tunza na hata...
Mimi nime kaa na mke kwa miaka kumi na nne sasa na tuna watoto wanne, lakini mwanzoni mwa mwaka huu mke alitoroka nyumbani na kwenda kwao na kukaa huko kwa miezi saba hivi, lakini aliporejea nilibaini kuwa ana uja mzito wa kama miezi mitano lakini kwa sasa amejifungua na imethibitika kuwa si...
Kwa mtazamo wangu KUMBE inatokana na neno kumbukumbu hivyo kwa sentesi yako KUMBE TANZANIA NI NCHI TAJIRI inaweza kutafsirika hivi I THINK TANZANIA IS A RICH COUNTRY au unaweza pia kutumia superlative degree I THINK TANZANIA IS THE RICHEST COUNTRY hii ni kama una lengo la kulinganisha na nchi...
Kwa wale wenye ujuzi na mambo haya naomba nifahamishwe hili fungu linalotolewa kwa minajili ya kuendeleza jimbo (constituency development fund) huwa linatumikaje na ni kiasi gani kwa jimbo?
Maana sijawahi kuona hata kitu kimoja kimendelezwa jimboni mwangu; mfano barabara, zahanati au shule...
Napata tabu sana ninapoona viongozi wengi hapa nchini na kote duniani wakisimama kudai kwamba wanawake ndiyo wazalishaji wakuu wa familia na kwamba wanaume huwa wanatumia pia mapato hayo yaliyo letwa na wanawake vibaya kwa kwenda kunywea pombe na anasa mbali mbali, sijuwi wao hizi takwimu...
Naomba msada kama kuna uwezekano wa kupata kumbumbu za simu nilizo piga au kupigiwa pamoja sms ambazo kwa bahati mbaya nilizifuta kutoka kwenye simu yangu na pia kama kuna uwezekano wa kupata maongezi yaliyo kuwapo na pia kujuwa simu ninayo wasiliana nayo iko sehemu gani niliambiwa kwamba...
Nini cha kufanya pindi unapogundua mke anatoka nje ya ndoa na pia unapobaini kwamba kumbe ni tendo la siku nyingi na pia amekuwa na mahusiano na zaidi ya mwanaume mmoja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.