Recent content by superfisadi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

    duh kwani hii kitu si waliregister usa kama ni bongo hakuna namna ataacha kutoa majina hasa kwa sheria ya mtandao ni ovyo mno
  2. S

    JamiiForums Tanzania Arusha wafanyabiashara wa madini wamepigwa risasi

    Wameiba hela walizokuwa nazo kwenye gari waliopiga risasi walikuwa na toyo
  3. S

    JamiiForums Tanzania Arusha wafanyabiashara wa madini wamepigwa risasi

    Walikuwa wawili. kwenye gari maeneo ya pangani wamewahishwa hospital ya. Mt meru
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mahojiano,mh.mwigulu nchemba awajibu chadema(pres ya leo-nassari)awashangaa cdm kwa uongo,sisitiza

    Hao waandishi hovyo sana aina gani ya maswali. Wananauliza walikuwa wanabembeleza hela kwani hakuna mwandishi anayeuliza maswali hivyo. Kama. Ni waandishi kweli tasnia. Ya. Habari imekufa
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Marehemu Wakili Nyaga Mawalla yaanguka na kuharibika 'write-off'

    babu Sambeke hakuwa rubani wa Nyaga walikuwa wanamiliki ndege iliyoanguka last 2 yrs na kuua rubani ikikaribia kutua KIA walikuwa marafiki Nyaga hakuwa na uwezo wa kumwajiri babu ni bilionea mwingine na Nyaga amekufa akidaiwa na babu fedha kiasi kikubwa
  6. S

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CHADEMA aahidi kupambana na 'wanaomchafua' marehemu Nyaga Mawala

    Msando kanufaika na ufisadi wa Nyaga kuliko binadamu yeyote hata ndugu wa marehemu wanadai ndiyo aliyechanzo cha Nyaga kujitenga na family hivyo lazima amtetee
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mwandishi Francis Godwin atoweka Iringa kuhofia maisha yake

    godwin yuko njiani kuelekea Dar kwenye mkutano wa utpc hawezi kukimbia wakati yeye mwanaccm safi ambaye alikuwa akisubiri udc
  8. S

    JamiiForums Tanzania Zitto: Sitagombea uongozi CHADEMA

    anarudia yaleyale ya 2007 alitangaza anaacha siasa anarudi kufundisha anaenda kufanya kazi somalia au southern sudan, hana lolote
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge Selasini apata ajali mbaya! Akimbizwa hospitali, watatu wafa papo hapo akiwamo mamake

    nadhani selasini hajaumia sana kwa sababu anachat fb
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge Selasini apata ajali mbaya! Akimbizwa hospitali, watatu wafa papo hapo akiwamo mamake

    Mungu amponye wakati wa kampeni alipata ajali mbaya sana akavunjika mkono wa kulia unamsumbua mpk sasa RIP mama joseph
  11. S

    JamiiForums Tanzania CHAMI: Ekelege na Joyce wameniponza

    rudi jimboni sasa ukae na wapiga kura toka umekuwa mbunge ulikuwa biz na uwaziri , tena sasa nadhani atapata fursa ya kujenga makazi ya uhakika (nyumba) jimboni kwake
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nassari, Lema wadai kutishiwa kifo

    Siasa iachwe kwa wanasiasa ,
  13. S

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu dhidi ya "Baadhi ya wananchi wahuni" wa Arusha kujaribu kuzuia wanahabari wa TBC

    dotto weka sawa wewe ni mpiga picha wa jamilah waandishi wa habari wanajulikana
  14. S

    JamiiForums Tanzania Matusi ya Lema na Matusi ya Lusinde ni Matusi Yetu na Unafiki Wetu!

    kwa hiyo kweli alimtukana Batilda ?
Back
Top Bottom