Tatizo la Inverter hupunguza maisha betri kiufupi inaua betri. ndo maana TV nyingi za kisasa zinakuja na mfumo wa DC hata pia DVD player,ving'amuzi, subwoofer vinatengezwa vikiwa na mfumo wa DC ila utappewa adapta kama utatumia AC
Ingekua 2027 mzee pombe bado kashikilia nchi na mim ningehamasisha tuandamane Ila kwa sasa hivi unaandamana kwa lengo lipi. Kama ni ugumu wa life hata kama trump akiwa rais wa Tz bado tutaendelea kuisoma mamba. Kila nchi INA BAHATI YAKE usifosi Tz iwe kama inch nyingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.