Nahitaji Fundi wa kusuka INVERTER

Nahitaji Fundi wa kusuka INVERTER

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
11,059
Reaction score
15,534
Habarini wakuu nahutaji fundi mahili wa kusuka power inverter. Awe anasuka zenye ubora wa hali ya juu. And the price must be Affordable, reasonable and recommend
Coment hapa au njoo DM
 
Habarini wakuu nahutaji fundi mahili wa kusuka power inverter. Awe anasuka zenye ubora wa hali ya juu. And the price must be Affordable, reasonable and recommend
Coment hapa au njoo DM
Mkuu wewe ni mtaalam Wa sola.
Kwann una prefer inverter za kusuka?.
Au nn zaidi kiongezwe humo?.
Mbona hizi za kijerumani zinatosha tuu?
 
Mtafute huyu +255765555856 anasuka Sana hizo inverters
 
Mkuu wewe ni mtaalam Wa sola.
Kwann una prefer inverter za kusuka?.
Au nn zaidi kiongezwe humo?.
Mbona hizi za kijerumani zinatosha tuu?
Mkuu kuna inverter kama 4 zimekufa circuit ioa transforma ni nzima so nahitaji mtu wa kusuka circuut tuu
 
Mkuu kuna inverter kama 4 zimekufa circuit ioa transforma ni nzima so nahitaji mtu wa kusuka circuut tuu
Hapo sawa.......
Ni inverter gani ? Mbona zinakuwa Na tatizo saww zote?
 
Mkuu hiz ni Victron. Zilifungwa bila PE Earthing kufanyika so zikapigwa mtungo na Radi
Ahaaa
Sisi bado tunatumia hivu vidogo vya 300VA....havituumizi kichwa.....40 tu unapata
 
Hivi inverter ya 200va in shilling ngapi jmn
 
Tatizo la Inverter hupunguza maisha betri kiufupi inaua betri. ndo maana TV nyingi za kisasa zinakuja na mfumo wa DC hata pia DVD player,ving'amuzi, subwoofer vinatengezwa vikiwa na mfumo wa DC ila utappewa adapta kama utatumia AC
 
Back
Top Bottom