Recent content by Super mandela

  1. S

    JamiiForums Tanzania Askari wa Rwanda wafanya Shambulizi Mpakani

    We vita huwezi endelea kubeba box na kula rambirambi za watu.ungekua mzalendo au una uchungu na nchi yako usingeacha upolisi ukakubali kwenda kuishi ulaya aliko "olewa dada ako".
  2. S

    JamiiForums Tanzania CCM Tuwe Macho na Mbinu Mpya ya CHADEMA

    Hivi JK amesafiri mara ngapi mwaka huu?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kumuoa tatizo umri.....

    ...."ukiwa mjanja kupigiwa ni siri ya ndani" japo siupendi huu usemi ila sometime unafaa kwa kuji fariji....
  4. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kumuoa tatizo umri.....

    ...Acha ujinga kwani haiwezekani kukutana uraiani? usintafutie balaa we kijana!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kumuoa tatizo umri.....

    ....ha ha ha
  6. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kumuoa tatizo umri.....

    ....Sio mbaya ni mawazo yako.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kumuoa tatizo umri.....

    ......ooops ume eleweka.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kufungua biashara ndogo ya kujikimu

    Hayo ndo maneno sasa,uko wapi i mean mkoa gani?je una eneo la kutosha kwa kufanya huu mradi? yazingatie haya kwanza hasa eneo ni muhimu sana.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kumuoa tatizo umri.....

    Mkuu sio kama nampotezea NO.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kumuoa tatizo umri.....

    ...She is good mkuu ni mshauri mzuri tu inshort anafaa kua mke licha ya mapungufu madogo madogo ya kibinadamu.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kumuoa tatizo umri.....

    Tuna tofautiana umri mkubwa sana nimemuacha 10yrs but uki tuaangalia kimuonekano wetu utasema kama tunapishana 4yrs vile, Binti mzuri tu kisura,umbo mpaka tabia,good enough ni kua namfahamu tangu alipo kua mwanafunzi wangu alikua ana behave good class hata nje ya darasa,sijawahi kusikia skendo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Itv wame edit picha -kigoma

    .......Ubishi wa kitoto na wa kishamba kabisa huu,tatizo lenu magamba mna force ukweli uwe uongo,nyekundu kuwa njano imekula kwenu 2015 itabaki kuwa historia tu...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

    Acha Unafiki Wewe Daktari Mburula,akili zako mgando hizo nyie ndo mnao pasua watu vichwa badala ya goti,hovyo kabisaa!
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

    kwa fujo anazo fanyiwa dr slaa huko kigoma na maccm,mtu mwenye akili atagundua kabisa chadema ni watu wa amani siku zote kwa uvumilivu walio uonyesha,kwa namna hata mikutano iliyokua inavugika wakati wa nyuma ni wazi kabisa ccm ndio walikua wana anzisha vurugu hizo.heko makamanda wa kigoma...
  15. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mtegoni!!!!

    Labda na yule alie 'mrithi' mzee malechela...!
Back
Top Bottom