Unajua kazi ya askofu ni nini au ndo mwisho wa dunia
Hivi hii tanzania wenye vyeki feki ni wangapi na kwan cheti ndo kinafanya kazi wangapi mpaka leo hawajasoma lakini kqzi wanafanya kwa kwenda mbele
Hawa akina gwajima wakingekuwa ufilipino nahisi tungekuwa tunasema mengine yule raisi sio wa dunia hii mdogo wake hitler ameua watu kama 7000 hivi walioshutumiwa wanafanya biashara ya madawa ya kulevya pamoja na mawakili wanotetea hao watu
Huuu ujinga leteni mada za kujenga jamii sio kujadili watu tufukie mahali tuelekezane namna gani tunatoka sio mara gwajima wala makonda huo ubaraka utaisha lini
Naanza na suala la bodi yetu ya ligi ambayo imepewa dhamana kubwa na ndo inaongoza kwa kutoa maamuzi yanayochafua nchi yetu
1 . Mwaka jana zimenaswa sauti za upangaji matokeo na kuomba rushwa toka kwa viongozi wa geita gold mpaka leo wamelifunikq tu
2 . Mchezo wa jana baina ya jkt ruvu nq...
Hata ukiponda haisaidii kitu so mnataka wabunge wa kuteuliwe watano kila jinsia mie namuombea tu afanye kazi kwa weledi maana ni mchapa kazi na bado anauwezo wa kulitumikia taifa
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale
Kwanza naanza na hii ratiba mbovu waliyoipangia yanga jumapili acheze morogoro ambapo itakuwa tarehe 5 na jumanne acheze dar tarehe 7 tena kwenye mashindano tofauti na unakuja jumamosi acheze na zenaco timu nguvu tena club bingwa hivi wapanga ratiba mpo...
Hivi turudi kwenye katiba inasemaje kwa wateuliwa na wawakilishi wawe na kiwango gani cha elimu na hapo ndo tutapata ubora wa hoja na kuweza kueleweshana
Maendeleo ya taifa lolote yanaletwa na vijana acha kupotosha umma ina maana hata mwalimu aanzie hiyo miaka 40 au wale wawakilishi wa mjengoni nao waanzie 40 ndo taswira yako usitoe mada ambazo hujafanyie utafiti
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.