Nani mwanzilishi wa shule za kata?

Nani mwanzilishi wa shule za kata?

Radio 5 ni radio ya huyo fisadi mkuu ndiyomaana hao watangazaji wake wamekua mafisadi wa habari kama boss wao na chama chao cha mafisadi.
 
ligera
Watakuja kukuthibitishia tu kuwa wao ndio walioasisi mkakati hyo
Uzuri wenyewe wana data
Kimewauma mpaka mnakata mawasiliano kabisa?

Weka hizo data hapa.
Hizo laki mbilimbili za fisadi mkuu zimewafanya mmewehuka??
 
Last edited by a moderator:
Alichoanzisha lowassa ni njia tatu dar ,kupunguza foleni uku akijua kabisa kwamba siyo suluhisho la foleni
 
Hatukatai kuwa mh.Lowasa ana mazuri mengi tu.ila hayo mabaya yake ni makibwa na athari zake ni kubwa kwa jamii
 
It seems umeandikiwa ----- na ww ukapost tu siajabu ulikuwa hujazaliwa! Just sounded like an idiot kwa kusema eti huyu PM wa kulia Lia did a lot !!
Uzushi huu mnaweza kuwaongopea wale wa vilabuni sio watu wenye akili timamu !!
 
Mtanzania;

unachokisema hukijui kwa sababu kuna baadhi ya mikoa mpaka lowasa anaingia madarakani tayari kata zote zilikua zimeshakamilisha ujenzi wa madarasa.

Ndio maana shule nyingi za kata zina majina ya wakuu wa mikoa waliokuwepo enzi za mkapa na nyingine zina majina ya mawaziri wa enzi za mkapa chache mno zina majina ya viongozi wa kikwete.

Fuatilia shule nyingi za kata zimefunguliwa miaka ya 2003 hadi 2006 . .
 
Last edited by a moderator:
Mimi mnanichanga mnaposema Mkapa na Lowassa wakati Mkapa alikuwa rais na Waziri Mkuu Sumae. Kamat zilianzishwa kipind cha Ben bac ni Sumae ndo mwanzilishi kwasababu ndo alikuwa mtendaji mkuu wa serikali na kama nikipindi cha cha Jk bac tuseme ni mzee wa white hair. Kama ni marais bac tucompare btn Ben vs JK but kama ni PM bas tucompare Sumae vs Lowasa
 
Kujengwa kwa shule <>kujengwa shule za kata ?
Hapo ndipo wengi mnapopishana
 
Mtanzania;

Hebu muelewe mtetea mada na mleta mada..awamu ya nne ilikiwa ikifuata sera ya MMEM na MMES haikuwa sera mpya kabisaa..sema amekosea kuwa kujenga nyumba na madarasa yote ilikuwa ni mipango tu ya awamu ya tatu hajakosea.

Lawasa hakuasisi chochote katk hiyo sera ya elimu ya kata bali alifuatilia ktk kuendelezaa
 
Last edited by a moderator:
Wakuu habarini za mchana.
Nakuja tena mbele yenu hasa kuhusu hili dukuduku la kutaka kufahamu kiundani kuhusu shule hizi za Kata. Kuna rumors kwamba shule hizi zilianzishwa na aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza wa serikali ya awamu ya nne, na kuna rumors zingine zinasema shule hizi ni mpango wa kimataifa (refer speech ya Dr Slaa tar 1september).

Sasa utata ni hiyo nadharia ya kwanza kwamba zilianzishwa /zilijengwa na Lowasa how /kivipi wakati wananchi ndio walioshiriki katika michango? Ninachofahamu ni kwamba serikali ilihusika hasa katika kupeleka walimu na huduma zingine zilizohitajika hasa vitabu, chaki vitendea kazi kwa ujumla.

Natumaini nitadadavuliwa kuhusu hizo nadharia zangu mbili...!!!
 
MIMI SINA TATIZO NA LOWASSA, HATA KAMA YEYE NDO ALINZISHA NA KUENDELEZA USIMAMIZI WAKE SAWA TU, TUNACHOHITAJI NI MAENDELEO,
TATIZO LA KWETU HAPA TUNAFANYA ILI TUONEKANE TUMEFANYA ILI TUUNGWE MKONO NA HATIMAYE KUPIGIWA KURA, MATOKEO YAKE TUNAISHIA KUFANYA MABO YASIYOKUWA NA TIJA
 
Back
Top Bottom