Kwa kuwa CHADEMA imepoteza dira, Watanzania twendeni na ACT Wazalendo

minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
21,552
2,000
Kwa kuwa serikali iliyopo madarakani inahitaji chama cha upinzani chenye maadili na miiko ya kimaadili ili kuisimamia na kuikosoa inapokosea serikali, nawashauri watanzania twendeni na Act wazalendo.

Chadema sasa hivi imekengeuka kimaadili, inatetea wauza madawa ya kulevya, mafisadi, wakwepa kodi na wachawi. Kwa hiyo chadema ya leo haina moral authority ya kuikosoa serikali wala kuishauri.

Hivyo basi watanzania wenye kupenda nchi yao lazima tujenge chama kingine chenye nguvu mbadala wa ccm, tunachoweza kukikabidhi nchi na kila mtu akawa na imani kwamba nchi ipo kwenye mikono salama.

Chadema hii inayotetea kila aina ya uchafu na kimbilio la mafisadi na wauza madawa ya kulevya, haiwezi kuwa chama salama cha kukabidhi nchi yetu.

Kuwakabidhi nchi chadema, ni sawa na kuwapa nchi mafisadi, wauza madawa ya kulevya, majizi na wakwepa kodi.

Chadema ya leo haina kanuni taratibu wala miiko ya chama, hivyo haifai kukabidhiwa nchi.

Twendeni na Act wazalendo angalau kina miiko na azimio la Tabora.
Masogange ni CCM hata GSM ni CCM wale waliovuna pesa za Escrow ni CCM, wanunuzi wa kivuko kibovu, mabehewa chakavu, wanunuzi wa ndege cash wote ni CCM, hata Lugumi ni CCM, huko kwenu CCM ndipo walipo wachafu wa kila aina usijitoe fahamu kuwanyoshea wengine Vidole utazani hukai kwa Lipumba ambaye mnakula pesa za walipa kodi kwa kazi ya kukoroga na kuteketeza upinzani, pesa ya viwanda ipo wapi? CCM mnatumia pesa nyingi kwa mambo ya ajabu ajabu vita ya unga mnapigania wapi? Wauza unga wakubwa mnao humo humo, wakwepa kodi mnao huko huko ndiyo maana mnagawana viwanja Kigamboni kwa magumashi sasa Makonda na Lukuvi wamekuwa vioja.
 
Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
12,321
2,000
ACT ni tawi la ccm, sema ujiji zamani ilikua ccm kwa sasa mmebadili liitwe act-wazalendo
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
21,552
2,000
Chama chenye Maadili Viongozi wake wote wanamadili ya wizi wa Raslimali za Taifa.Uzwaaji wa ardhi ya Taifa kwa kujipatia 10%,Barabara zisizo na kiwango,Mabasi ya Mwendokasi yasiyo na ubora,Kivuko kibovu bilioni nane zikapoyea,bado zile nyumba mlizowapa wakwe,nyumba ndogo ,ndugu,jamaa na marafiki.

Kuna Escrow, Richmond, Epa,IPTL duh Mabehewa hewa ,madrug lord na watakatishaji wa fedha wadau wenu wakiwa GSM.

Ni bora kukaa kimya maana ndoana ya mvuvi haitakugusa.Majangili wakubwa nyie.In actual fact anaitwa Chama Cha Majangili.
CCM ndiyo wameifikisha Tanzania hapa ilipo Yaani wameifirisi Tanzania, CCM sasa wapo madalali wa siasa akina Steven Nyerere, p na wenzao kutwa wanachukua pesa za kujenga viwanda kwenda kuzitumia kuua upinzani, Nchi hii pesa nyingi inapotelea kwenye kukandamiza demokrasia hakuna maendeleo mbele ya CCM kwani pesa za maendeleo zinatumika kwenye mambo ya ajabu, mfano sasa Makonda aliomba pesa nyingi kwa ajili ya vita vya madawa ya kulevya akaishia kupayuka na kuwakimbiza wauza unga Sugu na wengine wakapata nafasi ya kuficha unga wao na kubuni njia mpya, kwa kifupi Makonda ndiyo anawalinda wauza unga kwani bila kuwatangaza kwenye TV wasingekumbia na kuficha unga wao, Makonda angekuwa Ulaya angehojiwa sana na kama angekuwa china leo hii yupo jela anakonda.
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
21,552
2,000
ACT ni tawi la ccm, sema ujiji zamani ilikua ccm kwa sasa mmebadili liitwe act-wazalendo
Baada ya Makonda kutangaza list wauza unga Wakongwe vigogo walikimbia Nchi na wengine wakaficha unga wao huku wakibuni njia mpya za kufanya biashara, hivyo mtu wa kulaumiwa juu ya vita ya Unga ni Makonda mwenyewe.
 
folota

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
233
250
Kumbuka act hawapo kwenye ukawa waungane ndo watabomoa ngome vizuri nahisi kuna mahali tunatakiwa turekebishe ukitaka mabadiliko unganisha nguvu kenya c unaona kanu imepotea
 
Mwasita Moja

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
2,903
2,000
Masogange ni CCM hata GSM ni CCM wale waliovuna pesa za Escrow ni CCM, wanunuzi wa kivuko kibovu, mabehewa chakavu, wanunuzi wa ndege cash wote ni CCM, hata Lugumi ni CCM, huko kwenu CCM ndipo walipo wachafu wa kila aina usijitoe fahamu kuwanyoshea wengine Vidole utazani hukai kwa Lipumba ambaye mnakula pesa za walipa kodi kwa kazi ya kukoroga na kuteketeza upinzani, pesa ya viwanda ipo wapi? CCM mnatumia pesa nyingi kwa mambo ya ajabu ajabu vita ya unga mnapigania wapi? Wauza unga wakubwa mnao humo humo, wakwepa kodi mnao huko huko ndiyo maana mnagawana viwanja Kigamboni kwa magumashi sasa Makonda na Lukuvi wamekuwa vioja.
Mbona chadema mnawatetea sasa hao akina Masogange??
 
Mwasita Moja

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
2,903
2,000
CCM ndiyo wameifikisha Tanzania hapa ilipo Yaani wameifirisi Tanzania, CCM sasa wapo madalali wa siasa akina Steven Nyerere, p na wenzao kutwa wanachukua pesa za kujenga viwanda kwenda kuzitumia kuua upinzani, Nchi hii pesa nyingi inapotelea kwenye kukandamiza demokrasia hakuna maendeleo mbele ya CCM kwani pesa za maendeleo zinatumika kwenye mambo ya ajabu, mfano sasa Makonda aliomba pesa nyingi kwa ajili ya vita vya madawa ya kulevya akaishia kupayuka na kuwakimbiza wauza unga Sugu na wengine wakapata nafasi ya kuficha unga wao na kubuni njia mpya, kwa kifupi Makonda ndiyo anawalinda wauza unga kwani bila kuwatangaza kwenye TV wasingekumbia na kuficha unga wao, Makonda angekuwa Ulaya angehojiwa sana na kama angekuwa china leo hii yupo jela anakonda.
mbona haohao waliofilisi nchi wakihamia chadema wanapokewa kwa vigelegele?
 
MWALLA

JF-Expert Member
Dec 12, 2006
16,352
2,000
Kwa kuwa serikali iliyopo madarakani inahitaji chama cha upinzani chenye maadili na miiko ya kimaadili ili kuisimamia na kuikosoa inapokosea serikali, nawashauri watanzania twendeni na Act wazalendo.

Chadema sasa hivi imekengeuka kimaadili, inatetea wauza madawa ya kulevya, mafisadi, wakwepa kodi na wachawi. Kwa hiyo chadema ya leo haina moral authority ya kuikosoa serikali wala kuishauri.

Hivyo basi watanzania wenye kupenda nchi yao lazima tujenge chama kingine chenye nguvu mbadala wa ccm, tunachoweza kukikabidhi nchi na kila mtu akawa na imani kwamba nchi ipo kwenye mikono salama.

Chadema hii inayotetea kila aina ya uchafu na kimbilio la mafisadi na wauza madawa ya kulevya, haiwezi kuwa chama salama cha kukabidhi nchi yetu.

Kuwakabidhi nchi chadema, ni sawa na kuwapa nchi mafisadi, wauza madawa ya kulevya, majizi na wakwepa kodi.

Chadema ya leo haina kanuni taratibu wala miiko ya chama, hivyo haifai kukabidhiwa nchi.

Twendeni na Act wazalendo angalau kina miiko na azimio la Tabora.
PELEKA VILAZA WA LUMUMBA PAMOJA NA WEWE MWENYEWW... AMBAO MMEICHOKA FISIEM NDO MNATAKIWA MKATUPIWE HUKO. CDM NAFASI IMEJAA
 
Tukundane

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
11,079
2,000
ACT tukafanye nini wakati muda siyo mrefu mwenye Chama atatia team kwa baba mzazi CHADEMA.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom