Sekta ya michezo inawezekana kukua tukiondoa usimamizi mbovu wa michezo kwa ujumla

super chaka

Member
Feb 24, 2017
14
4
Naanza na suala la bodi yetu ya ligi ambayo imepewa dhamana kubwa na ndo inaongoza kwa kutoa maamuzi yanayochafua nchi yetu

1 . Mwaka jana zimenaswa sauti za upangaji matokeo na kuomba rushwa toka kwa viongozi wa geita gold mpaka leo wamelifunikq tu

2 . Mchezo wa jana baina ya jkt ruvu nq Yanga african . gori la chirwa na maamuzi aliyofanya juu yake napata wasiwasi mkubwa sana kukuza soka letu
 
Back
Top Bottom