super chaka
Member
- Feb 24, 2017
- 14
- 4
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale
Kwanza naanza na hii ratiba mbovu waliyoipangia yanga jumapili acheze morogoro ambapo itakuwa tarehe 5 na jumanne acheze dar tarehe 7 tena kwenye mashindano tofauti na unakuja jumamosi acheze na zenaco timu nguvu tena club bingwa hivi wapanga ratiba mpo kujenga soka au kurudisha nyumq kama mmeshindwa kazi wapeni vijana wapo kibao na taaluma wakuze soka
Pili hivi juzi nimesikia na kuona msemaji wa TTF kwa mdomo wake kwamba uwanja umefungiwa kutotumika mechi za ligi kuu wa jamhuri morogoro mpaka ufanyiwe maboresho yanayochukuq muda mrefu leo hii washatangaza mechi ipigwe pale ya mtibwa na yanga kitu ambacho kinarudisha nyuma kasi ya hapa kazi tu iangalie na huku kwa malinzi na kamati zake mfu
TFF badala ya kutengeneza mazingira mazuri kwa timu za nyumbani zinaposhiriki mashindano mbalimbali wao wamekuwa vikwazo na kuleta vitisho mbalimbali kwa mashabiki ndo maana timu zetu hazifiki mbali