Recent content by Sunshow

  1. Sunshow

    BASED ON MY TRUE STORY: Ogopa sana ukimya wa mwanamke. Kuna mahusiano/ndoa nzuri sana zinaharibika sababu ya kukosekana maongezi kati ya wapenzi

    Tatizo lilianzia pale ulipoanzisha mahusiano na Vee. Vee alitakiwa abaki kuwa shemeji na siyo rafiki.
  2. Sunshow

    Mfahamu Job Yustino Ndugai

    Safi.
  3. Sunshow

    Wateja Mjifunze kuheshimu wafanyabiashara, Wanajitoa kuliko Mnavyofikiria

    Uzuri ni kwamba kila mtu ni mteja kwa nyakati tofauti. Hata wewe inakuhusu.
  4. Sunshow

    Biashara zipi hazina kodi

    Kuuza madafu mtaani.
  5. Sunshow

    Nina miaka 45, nimeshafungua maduka 11 sasa nimefilisika

    Hukusoma vizuri mwenendo wa biashara yako. ulitakiwa ubadilishe mapema biashara au kuongeza huduma nyingine mfano kutoka kuuza simu na vifaa vyake na utoe huduma za kifedha kupitia simu, uza vocha au utengeneze simu hata kwa kumlipa fundi akae hapo. Inafika wakati kila mmoja anamiliki simu...
  6. Sunshow

    Nimezidiwa na maisha, niokoeni Watanzania wenzangu

    Muhimu kwa sasa Muombe Mungu na usichague kazi ilimradi ni kazi halali.
  7. Sunshow

    Binafsi nimesikitika sana kwa tabia iliyozuka ya Waziri anakuwa na mamlaka ya kutumbua watumishi bila kufuata utaratibu

    Waziri ni mwakilishi wa Rais, nina imani sheria inamruhusu kulingana na hasara inayoweza kusababishwa na mtuhumiwa kwa kuruhusu kufuatwa taratibu huku akiendelea kuwepo kazini.
  8. Sunshow

    Wahitimu wa vyuo waokolewe

    Ili mbegu iote lazima ioze kwanza. Hivo hivo Ili upate maisha mazuri lazima upitie magumu. Nchi ambazo kwa sasa tunasema zimeendelea zilipitia hali tunayopitia hivi sasa. Katika kutafuta kipi cha kufanya watu waliamua kutumia elimu yao vizuri kwa kuangalia fursa zinazowazunguka. Mwanzo so...
  9. Sunshow

    Jinsi nilivyotumia Tsh. Milioni 1 kuzalisha faida ya Tsh. Milioni 10 ndani ya miezi kumi

    Biashara yeyote inaambatana na bahati pia. Ni asilimia chache sana kwenye biashara hii wanaweza kusimama na kusema walipata faida zaidi ya hasara na kujutia pesa yao hasa wale wanaotumia wafanyakazi wa kuajiriwa.
  10. Sunshow

    Jinsi nilivyotumia Tsh. Milioni 1 kuzalisha faida ya Tsh. Milioni 10 ndani ya miezi kumi

    Una bahati sana na ninafikiri huyo mfanyakazi ni ndugu yako au mtu wako wa karibu pia mcha Mungu. Kwa mtaji huo mkubwa kiasi hicho wala isingekuchukua zaidi ya miezi mitatu kabla ya kufunga biashara.
  11. Sunshow

    Nini kitatokea endapo utakosa kulala kwa muda wa siku 15?

    Inawezekana hamkulala kitandani lakini mliupiga usingizi mara moja moja mfano uwanjani, jikoni n.k. Kuna jamaa mmoja ilipita siku mbili bila kulala alikuwa safarini basi ile amefika akapewa kiti akae. Haikupita dakika tano jamaa alianguka chini kama vile kapigwa na radi.
  12. Sunshow

    Nini kitatokea endapo utakosa kulala kwa muda wa siku 15?

    Hauwezi kukaa siku zote hizo bila kulala. Usingizi utakuchukua bila wewe kujijua.
Back
Top Bottom