Unajigamba, brother, lakini ujue kwamba zinaa ni deni!!Ukimzini moto wa mwenzako, na wakwako ataziniwa, tena kwa kudhalilishwa zaidi, maana ni deni linalipwa na interest.Kama deni halitalipiwa kwa mwanao, basi wa ndugu yako, au dada yako--lakini lazima lilipwe tu!!!