Wakuu poleni na majukumu,
Kimfaacho mtu chake. Nauza eneo langu ambalo lina msingi wa nyumba
Sifa za eneo
-Lipo chanika zogo Ali
-Umeme nguzo tayari
-Vyumba vitatu, master moja, dinning, sebule, public toilet,jiko na store
-Ukubwa wa kiwanja 20*20
-Linafikika kwa gari
-Umbali ni 1km kutoka chanika mwisho stand
-Mabaki ya ujenzi, tofali, na kokoto vipo
-Msingi ni imara, nondo 12mm nne kila upande
NB: HIZI NI PICHA ZA 2013,
Nauza kwa sababu ya shida zinazonikabili, bei 6.5m
Hela ya mjumbe na mwenyekiti wa mtaa, nitatoa mimi
View attachment 644576
View attachment 644578
View attachment 644580
View attachment 644582
M 3 unachukua?