Recent content by Sungusela

  1. Sungusela

    Sishauri Forker 50 na Forker 28 ziwe 'Branded' kama Ndege za Kibiashara za ATCL

    Mkuu Gentamycene have you pondered what is the market value of these planes ? Nadhani cost benefit analysis imefanyika kufikia maamuzi hayo. Anyway I don't know.
  2. Sungusela

    Nawaona Zitto na Pascal Mayalla wakiitwa na Spika mbele ya Kamati ya bunge ya maadili

    Halahala ujiangalie utakalofanya usijeitwa penginepo na usirudi tena !
  3. Sungusela

    Alichokizungumza kwenye mapokezi ya ndege sicho walichotegemea kusikia

    Ndio maana mnatishiana visu ! Kwa lugha hizi...
  4. Sungusela

    Je, Zitto Kabwe alipotosha kuhusu operesheni ya kummaliza (SAI)?

    Hutamuona kujibu hilo mkuu ! Huyo jamaa hafai hata kidogo trust me !
  5. Sungusela

    Je, Zitto Kabwe alipotosha kuhusu operesheni ya kummaliza (SAI)?

    We achana na Zitto! He is an extreme opportunist and polical distorter in chief ! Hana hata chembe moja ya uzalendo na angefurahi nchi ichafuke kwa vurugu yeye akila raha (a.k.a Bata) Burundi! Au majuu !
  6. Sungusela

    Ni sahihi Mali ya umma kuandikwa slogan ya Chama?

    Keep on dreaming !
  7. Sungusela

    Ubelgiji imewapatia wa Congo Rais, Je Historia itajirudia Tanzania Upinzani ukimpitisha Lissu?

    Yaani Ubelgiji imewapatia Congo rais ! Kweli kasumba ya ukoloni haitaisha duu ! Haya bana waachie wakongo ya kwao. Tanzania tutampata raisi sisi wenyewe watanzania.
  8. Sungusela

    Kupokea Ndege kufanywa ni tukio la kitaifa ni ushamba, tunachoreshana..

    Tulipofika watanzania ilikua sio wa kuamini yoyote ! Mkurugenzi wa ATCL na Zimamoto wangetupokelea kiini macho ndege pale ! Raisi anapokea na kukagua pale pale kama ni mpya au la japo kwa physical inspection. Mtamshangaa sana lakini kunafunzo kubwa sana hapa ambalo wengi ama hawalijui au...
  9. Sungusela

    Kupokea Ndege kufanywa ni tukio la kitaifa ni ushamba, tunachoreshana..

    Aibu iko juu yako na lugha zako zisizofaa !
  10. Sungusela

    Kupokea Ndege kufanywa ni tukio la kitaifa ni ushamba, tunachoreshana..

    Mkuu shida ni nini kwani ? Dawa ni kutofuatilia tuu wewe wenyewe na wala hutachoreka ! Fanya kazi zako endelea na ratiba zako yameisha ! Wengine wanapenda ndio maana wanafurika pale and others are glued to their TV sets to witness their brand new assets (flag carriers) jetting in.
Back
Top Bottom