Kupokea Ndege kufanywa ni tukio la kitaifa ni ushamba, tunachoreshana..

Mimi sio mpinga maendeleo. Ninasapoti kwa asilimia zote maamuzi chanya yenye lengo la kukuza uchumi wa taifa hili changa. Ukiwemo uamuzi huu wa kufufua Shirika la Ndege kwa kununua ndege 7. Kongole Serikali!

Hata hivyo, kuna mambo yanatutia aibu. Mojawapo ni hili la mapokezi ya hizi ndege kufanywa kuwa ni tukio special sana la kitaifa. Kwa lugha ya mtaani tunasema ni 'kuchoreshana'.

Kwa dunia ya sasa, hata kama tulikuwa hatuna, sio fahari kuitangazia dunia kwamba tunasubiri ndege airport, tena tukiongozwa na Rais!? Sijaona Kenya wakifanya, Ethiopia, South Africa, Nigeria, Rwanda na kokote kunakotuzunguka. Mambo gani haya?

Halafu mbaya zaidi, siku zote hizi za mapokezi ni lazima RAIS ahudhurie kama mgeni rasmi. Ni kuonesha kwamba it is our top priority for now as a nation. Really? Waziri na watu wachache wangetosha sana kutuwakilisha. Na hakuna ulazima wa kufanya live coverage kwenye redio na televisheni.

Huko baadae zitakuja treni za kisasa, tutafanya hivi pia?
Hatuishi kwa Kifuata tamaduni za watu wengine unaposema tukio la kitaifa kunakua na mapumziko au vp hakuna anaelazimishwa kwenda sema ww huna muda huo acha kujifanya sio mpinga maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukigeuza ccm ndiyo akili yako lazima hoja zije kihivi. Hoja zingine za hivi nimezisikia bungeni hasa wakati wa kupitisha miswada ya kuibeba ccm. Hata wasomi wetu wengi wakishaingia ccm utasikia hoja zao za hivi! Masikini nchi yangu Tanzania! Kwa nini kila hoja njema ya kitaifa huonekana imetolewa na upinzani? Naiunga mkono hoja ya aliyewahi kusema nchi wamekabidhiwa washamba wa kisiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli ni tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio mpinga maendeleo. Ninasapoti kwa asilimia zote maamuzi chanya yenye lengo la kukuza uchumi wa taifa hili changa. Ukiwemo uamuzi huu wa kufufua Shirika la Ndege kwa kununua ndege 7. Kongole Serikali!

Hata hivyo, kuna mambo yanatutia aibu. Mojawapo ni hili la mapokezi ya hizi ndege kufanywa kuwa ni tukio special sana la kitaifa. Kwa lugha ya mtaani tunasema ni 'kuchoreshana'.

Kwa dunia ya sasa, hata kama tulikuwa hatuna, sio fahari kuitangazia dunia kwamba tunasubiri ndege airport, tena tukiongozwa na Rais!? Sijaona Kenya wakifanya, Ethiopia, South Africa, Nigeria, Rwanda na kokote kunakotuzunguka. Mambo gani haya?

Halafu mbaya zaidi, siku zote hizi za mapokezi ni lazima RAIS ahudhurie kama mgeni rasmi. Ni kuonesha kwamba it is our top priority for now as a nation. Really? Waziri na watu wachache wangetosha sana kutuwakilisha. Na hakuna ulazima wa kufanya live coverage kwenye redio na televisheni.

Huko baadae zitakuja treni za kisasa, tutafanya hivi pia?

Sasa ndugu yangu walishasema wao ni vichaa, waache waendelee na mambo ya ajabu ajabu ya ukichaa, dunia haitawashangaa maana ukimshangaa kichaa nawe utakuwa kichaa.
 
Mimi sio mpinga maendeleo. Ninasapoti kwa asilimia zote maamuzi chanya yenye lengo la kukuza uchumi wa taifa hili changa. Ukiwemo uamuzi huu wa kufufua Shirika la Ndege kwa kununua ndege 7. Kongole Serikali!

Hata hivyo, kuna mambo yanatutia aibu. Mojawapo ni hili la mapokezi ya hizi ndege kufanywa kuwa ni tukio special sana la kitaifa. Kwa lugha ya mtaani tunasema ni 'kuchoreshana'.

Kwa dunia ya sasa, hata kama tulikuwa hatuna, sio fahari kuitangazia dunia kwamba tunasubiri ndege airport, tena tukiongozwa na Rais!? Sijaona Kenya wakifanya, Ethiopia, South Africa, Nigeria, Rwanda na kokote kunakotuzunguka. Mambo gani haya?

Halafu mbaya zaidi, siku zote hizi za mapokezi ni lazima RAIS ahudhurie kama mgeni rasmi. Ni kuonesha kwamba it is our top priority for now as a nation. Really? Waziri na watu wachache wangetosha sana kutuwakilisha. Na hakuna ulazima wa kufanya live coverage kwenye redio na televisheni.

Huko baadae zitakuja treni za kisasa, tutafanya hivi pia?
Mkuu shida ni nini kwani ? Dawa ni kutofuatilia tuu wewe wenyewe na wala hutachoreka ! Fanya kazi zako endelea na ratiba zako yameisha ! Wengine wanapenda ndio maana wanafurika pale and others are glued to their TV sets to witness their brand new assets (flag carriers) jetting in.
 
Omba mungu update exposure..maana no elimu dunia, na hutapata tabu katika kukuza uchumi wako
 
Huu si ushamba hata kidogo,hataki kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
Umesahau tulivonyanyaswa na hao waliokodi ndege mbovu tukawa tunazilipia kwa miaka kadha japo hazikuwahi kuruka,na tulipohoji tukapelekwa kortini kuvunja mkataba hewa na wa kifisadi HUO NDIO USHAMBA.
Kuna wakati enzi za akina Mwapachu wao walishindana kujenga nyumba badala ya kununua ndege HUO NDIO USHAMBA.
Ushamba ni ile hali ya kutumia mali za wengine wakati na wewe unaweza kuwa na chako.
 
Chadema mmeshindwa kujenga hata kaofisi ka vyumba vitatu wivu tu unawasumbua mkuu wa nchi kushusha madege. Kamwambieni mkiti wenu sie tunaenda airport kupokea Mali za nchi, na mzee wa miga toka atoke nchini hatushitakiwi, ndo ujue mchawi nani.
Wasiopenda maendeleo waende kujifungia ufipa ila cha ajabu utawakuta wanakodoa kideoni kuisubiri na kumsikiliza amiri jeshi mkuu.
Na hakuna mtu anayemsikiliza sana mheshimiwa Raisi zaidi ya hawa mawakala wa mabeberu, najua wanamuelewa sana ila midomo yao tu mizito.
Kama kununua ndege ni tukio la kitaifa basi ununuzi wa daladala ni tukio la ki mkoa!! Inapaswa siku daladala ikinunuliwa viongozi wote wa mkoa wanatakiwa kuwa eneo la tukio pamoja nna wananchi wote na shughuli zote za kimkoa zisimame walahi!
 
Ndege yetuuuuu ileeeee paleeee

Rais weeetuuuu Yule paleeeeeee

Tunampendaaaa Yule paleeeeee

Hapo gvt nzima inakata viuno airport kisa ndege

Aibu Hii ya Karne hakika hatutaisahau
Aibu iko juu yako na lugha zako zisizofaa !
 
Chadema mmeshindwa kujenga hata kaofisi ka vyumba vitatu wivu tu unawasumbua mkuu wa nchi kushusha madege. Kamwambieni mkiti wenu sie tunaenda airport kupokea Mali za nchi, na mzee wa miga toka atoke nchini hatushitakiwi, ndo ujue mchawi nani.
Wasiopenda maendeleo waende kujifungia ufipa ila cha ajabu utawakuta wanakodoa kideoni kuisubiri na kumsikiliza amiri jeshi mkuu.
Na hakuna mtu anayemsikiliza sana mheshimiwa Raisi zaidi ya hawa mawakala wa mabeberu, najua wanamuelewa sana ila midomo yao tu mizito.
Wewe umeshindwa hata kupanga chumba unalala sebuleni kwa dada yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kupokea ndege ni kazi ya mkurugenzi wa ATCL na kikosi cha zimamoto.
Tulipofika watanzania ilikua sio wa kuamini yoyote ! Mkurugenzi wa ATCL na Zimamoto wangetupokelea kiini macho ndege pale ! Raisi anapokea na kukagua pale pale kama ni mpya au la japo kwa physical inspection. Mtamshangaa sana lakini kunafunzo kubwa sana hapa ambalo wengi ama hawalijui au wanajitoa ufahamu na kujifanya wamesahau ghilba za akina Mataka na ndege za kukodi kutoka Ethiopia zilizotua na kuelekea kupaki kwenye hunger permanently ili hali tukilipa mamilioni ya kodi zake ! Wasiwasi ndio akili, pokea chako kihakiki usije uziwa mbuzi kwenye gunia ukafungua nyumbani ukakuta ni nguchiro !
 
Mimi sio mpinga maendeleo. Ninasapoti kwa asilimia zote maamuzi chanya yenye lengo la kukuza uchumi wa taifa hili changa. Ukiwemo uamuzi huu wa kufufua Shirika la Ndege kwa kununua ndege 7. Kongole Serikali!

Hata hivyo, kuna mambo yanatutia aibu. Mojawapo ni hili la mapokezi ya hizi ndege kufanywa kuwa ni tukio special sana la kitaifa. Kwa lugha ya mtaani tunasema ni 'kuchoreshana'.

Kwa dunia ya sasa, hata kama tulikuwa hatuna, sio fahari kuitangazia dunia kwamba tunasubiri ndege airport, tena tukiongozwa na Rais!? Sijaona Kenya wakifanya, Ethiopia, South Africa, Nigeria, Rwanda na kokote kunakotuzunguka. Mambo gani haya?

Halafu mbaya zaidi, siku zote hizi za mapokezi ni lazima RAIS ahudhurie kama mgeni rasmi. Ni kuonesha kwamba it is our top priority for now as a nation. Really? Waziri na watu wachache wangetosha sana kutuwakilisha. Na hakuna ulazima wa kufanya live coverage kwenye redio na televisheni.

Huko baadae zitakuja treni za kisasa, tutafanya hivi pia?
Hahahhaa ni aibu man. Bora uweke marudio ya ndanda NA mbao kuliko kuangalia Mubashara mapokezi ya ndege

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww sio MSWAHILI... vitu vingine tunafanya kutokan na hulka yetu kama waswahili... MSWAHILI akipata lazima aringe kwa vyvyte vile... Mimi ni shahidi toka nikiwa mtoto nikinunuliwa kitu kipya lazma mtaa ujue na sio peke yangu hata marafik zangu nao walifanya hvohvo... Bahat mbay bado nko hvo mpka sasa nikipata kitu kipya nlichokitafta kwa jasho lazima niringe lazima nioneshe... TUMSAMEHE RAIS NI USWAHILI TU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom