Ubelgiji imewapatia wa Congo Rais, Je Historia itajirudia Tanzania Upinzani ukimpitisha Lissu?

Yaani Ubelgiji imewapatia Congo rais ! Kweli kasumba ya ukoloni haitaisha duu ! Haya bana waachie wakongo ya kwao. Tanzania tutampata raisi sisi wenyewe watanzania.
Hats hapa raisi hatumchagui sisi wenyewe Bali tume inatuchaguli
 
Nimesoma Historia Fupi ya Bwana Felix Raisi Mteule wa Congo nikapata Kama maono flani HIVI:

Huyu bwana Felix Kama ilivyokua kwa Bwana Lisu Naye alikua NCHINI UBELGIJI kwa KIPINDI kirefu Kama Ikivyokua kwa bwana Tundu Lisu....TOFAUTI yao NI kwamba, Felix alienda Kama mkimbizi aliyekimbia Congo na baba yake kutokana na migogori ya KISIASA.....BWANA LISU ALIKIMBILIA HUKO ILI KUIPONYA AFYA YAKE.

TUNAWEZA KUDHARAU HAYA MAMBO LAKINI SI AJABU MUNGU ANATOA ISHARA HAPA.......NAWASHAURI WAPINZANI MPITISHENI LISU YAMKINI WAKATI WA MUNGU UMEFIKA.

waji

stupid!!!

Felix kawekwa na Kabila

mitanzania bana

wewe ndo wale baba zao walitaka mimba zitolewe mama akakataa
 
Nimesoma Historia Fupi ya Bwana Felix Raisi Mteule wa Congo nikapata Kama maono flani HIVI:

Huyu bwana Felix Kama ilivyokua kwa Bwana Lisu Naye alikua NCHINI UBELGIJI kwa KIPINDI kirefu Kama Ikivyokua kwa bwana Tundu Lisu....TOFAUTI yao NI kwamba, Felix alienda Kama mkimbizi aliyekimbia Congo na baba yake kutokana na migogori ya KISIASA.....BWANA LISU ALIKIMBILIA HUKO ILI KUIPONYA AFYA YAKE.

TUNAWEZA KUDHARAU HAYA MAMBO LAKINI SI AJABU MUNGU ANATOA ISHARA HAPA.......NAWASHAURI WAPINZANI MPITISHENI LISU YAMKINI WAKATI WA MUNGU UMEFIKA.
Hivi si Wabelgiji ndio wanasema hajashinda? Sasa wamewapa wakongo raisi gani?Hivi kumbe na huku kunawatu hawana ubongo! Ningekushauri uhamie insta huku hapakufai
 
Hapa umejiona una akili nyingi kumbe umeficha Kichwa Makalio ukaacha nje. Unajua maana ya Unabii.....Hata Ubelgiji wenyewe wanaweza wasielewe kinachoendelea kati yao na Uhuru wa Africa Lakini ndo Mungu Kawachagua.
 
Hapa umejiona una akili nyingi kumbe umeficha Kichwa Makalio ukaacha nje. Unajua maana ya Unabii.....Hata Ubelgiji wenyewe wanaweza wasielewe kinachoendelea kati yao na Uhuru wa Africa Lakini ndo Mungu Kawachagua.[/QU
Mbona unaandika vitu visivyo eleweka?
 
Back
Top Bottom