Recent content by sumbwi

  1. sumbwi

    Nani ndio super power wa ukweli ukanda wa maziwa makuu kudhibiti mikwara ya Rwanda na Congo

    Usiitaje Tz maana Haina nguvu kijeshi,haipo kwenye usuper power Hapa East Africa na haitakaa ije kuwa super power.
  2. sumbwi

    Naapa kujiua

    Ukifahamu mateso utakayo muachia mama yako, hutakaa ukuchachukua maamuzi hayo ya kijinga, huko unakoona kutofanikiwa kwako mama yako kunamuumiza zaidi kuliko hata wewe mwenyewe.
  3. sumbwi

    Tanzania yagoma kupiga kura ya kuunga mkono Mipaka ya nchi ya Ukraine(Territorial Integrity) huko UN

    Ingepiga Kura ningeshangaa Sana, siku zote tz huwa kwenye list ya nchi za kipuuzi
  4. sumbwi

    Sijawahi kushusha uzi mapema kiasi hiki, wakuu nahisi yamenikuta makubwa

    Kuhusu TV itakuwa umeme ulikatika kwa muda.
  5. sumbwi

    Mambo gani haya?

    Nchemba anaweza kutufafanulia hili?
  6. sumbwi

    Mambo gani haya?

    Ni nchi gani nyingine hapa duniani hutokea Mambo ya ajabu Kama haya?, haiwezekani nijiunge kifirushi Cha tsh2,000 kupata MB 1024 halafu Tena wanatuma sms eti nilijiunga kifirushi Cha tsh 1,000😲. Wakubwa huu siyo ujambazi?
  7. sumbwi

    Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

    Weka ofa wewe sperms siyo kamasi.
  8. sumbwi

    Nina wasiwasi na mke wangu...

    Usioe,usioe tena usioe ili kuhepukana na Mambo Kama haya. Ona Sasa Mimi nimekaa kwa amani kabisa ila huyu bwana muda huu anateseka.
  9. sumbwi

    Ubikira Wangu

    Itakuwa ulikuwa mwanachama wa chaputa
  10. sumbwi

    Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema amewasili New york kwa ajili ya mkutano mkuu wa umoja wa mataifa

    Hawajadhalilishwa hao walipaswa kutembezwa kwa mguu
  11. sumbwi

    Hii ni kiboko, imetokea huko London kwenye mazishi

    Hapo mbona wamependelewa, hao hata wangewaacha watembee kwa mguu Ni Jambo jema zaidi
  12. sumbwi

    Kwanini Mungu alikubali mwanae pekee afe ili tuokolewe na sio kumuua shetani aliye chanzo cha dhambi zote?

    Kwanini mnadhani kumuua shetani Ni suluhisho? Mwanadamu mwenyewe alikubali kutenda dhambi, halafu kwa jehuri akamtupia lawama MUNGU kwa kusema "huyu mwanamke uliyenipa ndiyo aliyenipa tunda nikala" NB: maamuzi ya kutenda dhambi hayatoki kwa shetani Bali kwetu sisi wenyewe.
  13. sumbwi

    Tanzania yaazimia kuwa na Chuo cha Vita

    Nani amekuambia hawana technology?
Back
Top Bottom