Pole Dada angu. Cha maana achana na uyo mwanaume haraka sana japo ni ngumu coz unampenda ila koma kikomando achana nae. Bahati unakazi nzuri hutoshindwa kuendesha maisha yako
Habari zenu wakuu. Ninarafiki yangu nampenda sana ni msichana mmoja mtulivu sana kwanzia nyumbani kwao, shuleni mpaka ugenini. Ila ni muathirika Wa virusi vya ukimwi ugonjwa huo alizaliwa nao. Ni binti mdogo tu miaka 24 sasa na ni binti ambaye ni mrembo hapana mfano. Kuna kijana mmoja ambaye...
Duuuuuuuuuuuuu hana akili uyo mwanamke hasaaa fukuzia mbali kama vipi. Ushaidi unaomkononi already ukiotea cm ya wife screen short chart yao jitumie wakitaka ushaidi uwo in wakwanza . pole lakini mkuu
Pole sana mkuu kwa yalokupa. Accept all challenges to become the better one, kama ushapata gadhabu mpaka za kufuatwa na makundi hayo ya mikopo nyumban na kunyang'anywa vitu haina haja ya kukata tamaa sasa pambana kiume umsaidie wife kulipa madeni. Na ufanye chap ukamchukue na usimsimange kwa...
Hongera sana kwani ni watu wachache wanamoyo kama wako, cha kukushauri pokea hiyo mahari alafu baada ya wedding Fanya jambo lolote litakalowafurahisha wazee kama kuwaboreshea nyumba n.k alafu masuhala ya kuongea ukweli kuhusu uyo binti kuwa si mwanao nadhani huyo binti ndo wakuka na mume wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.