Recent content by suma Nongwa

  1. suma Nongwa

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mikopo ya Biashara ya Vijana Serikalini

    Pamoja mkuu
  2. suma Nongwa

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mikopo ya Biashara ya Vijana Serikalini

    Nilikua ofisi ya kata kwa Afisa maendeleo jamii kupata huo utaratibu changamoto zipo pande mbili mimi navyofikiria 1. Upande wa Halmashauri hautoi elimu ya kutosha juu ya hii mikopo 2.Sisi vijana pia hatupo tayali.katika kujiajiri ndo mana ulikutana Na majibu tofauti tofauti 3.Lingine hili jambo...
  3. suma Nongwa

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mikopo ya Biashara ya Vijana Serikalini

    Umeandika vyema sana Mungu akubariki sana mkuu
  4. suma Nongwa

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mikopo ya Biashara ya Vijana Serikalini

    Ni kweli. Kabisa
  5. suma Nongwa

    JamiiForums Tanzania Natafuta hii bidhaa ya Rose quartz

    Habari wakuu naomba kupata taarifa ya bidhaa hii katika ardhi yetu ya Tanzania Kwa maana ya mkoa husika Na wilaya lakini pia itapendeza zaidi ikipatika video au picha ya bidhaa hii Ahsante
  6. suma Nongwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishughulika vipi na kisa cha namna hii?

    Naungana Na kishoro
  7. suma Nongwa

    JamiiForums Tanzania Kununua nyama machinjioni

    Mbagala machinjio yapo pale Sabasaba kwa mpili kama unatokea zakiem ni upnde wa wa kulia Na kama unatokea mtongani ni upande wa kushoto njia ya kuelkea Mbagala kuu ukiulizia machinjio utaelekezwa Kuhusu muda Mara nyingi huwa ni kuanzia saa 9 usiku mpaka 11 alfajiri
  8. suma Nongwa

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpimaji wa eneo la dhahabu

    Mcheki huyu jamaa atakusaidia +250 788 636688 whatsapp
  9. suma Nongwa

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Mungu akutangulie
  10. suma Nongwa

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    0687154049 Anaitwa Isihaka mcheck atakusaidia Pia ntamjulisha km nimekupa Namba yake
  11. suma Nongwa

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Ngoja nitakupa Namba ya mtu atayeweza kukusaidia kufanikisha hilo jambo kwa sababu yeye ana wasiliano ya karibu na mkulima Kutokea kisiwani Mafia na pia anafanya hiyo biashara atakupa maelezo vizuri. Mimi nilifanya lakini sikuwa field so sitaki nikupe taarifa fake
  12. suma Nongwa

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Haijashindikana mkuu We unataka kuuza jumla au rejareja?
  13. suma Nongwa

    JamiiForums Tanzania Wadada ulizeni maswali Wanaume wawajibu hapa

    Yan unanishkaje makalio hapo mashine lazima ilegee Na sabb kwa upande Wang nahisi unanifananisha km Na wale waliotolewa washell halafu makalio anashkwa mwanamke Na kuyapiga piga ili utam ukolee
  14. suma Nongwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ana mchumba wake lakini anataka nimpe mimba

    Kaka mkubwa pole kwa mtihani ila jambo la muhimu kufanya ni hivi Achana kabisa Na huyo mwanamke atakuja kukuletea shida kubwa siku za usoni Utakuja kujialaumu kama utafatisha mawazo yake mgando aliyoweka kichwani kwake Pia kumbuka hakuna siri ambayo utaficha au mtaficha kati yenu mana mungu...
  15. suma Nongwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Si kila mwanamke Aliye JF ni Malaya

    Sawa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom