Natafuta hii bidhaa ya Rose quartz

suma Nongwa

Member
Sep 12, 2017
97
47
Habari wakuu naomba kupata taarifa ya bidhaa hii katika ardhi yetu ya Tanzania
Kwa maana ya mkoa husika Na wilaya lakini pia itapendeza zaidi ikipatika video au picha ya bidhaa hii
Ahsante
IMG-20201013-WA0000.jpg
 
Kuna sehemu nilikuwa naona watu wakiwa nayo ila ni miaka mingi sana 1993, sijui kwa sasa kama bado upatikanaji upo vilevile
 
Back
Top Bottom