Recent content by suleimanjumamaulid

  1. S

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Polisi watanda mitaani

    Wala usitishike ndugu polisi ni binaadam kama wewe endelea na pilika zako mambo yote kesho inshaallah
  2. S

    JamiiForums Tanzania Matatizo mengi ya ndoa zetu zinatokana na kutokukuta bikira wasichana tunaooa

    Chakushangaza mkaka anatoa wasichana bikra siku ya kuoa hakuikuta hapatoshi akiulizwa kulikoni hana jibu nafsi inamsuta
  3. S

    JamiiForums Tanzania Interpol Bado Inamsaka Alex Massawe

    Jambazi Daudi balali tulieambiwa kafa kumbe yuhai anakula kuku kwa mrija
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wema ajuta kuweka kope za bandia

    Kumbe hivi ndo uhalisia wa sura ya wema !
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ni tamu lakini zinachakaza na kuzeesha sana

    Sio kuzeeka tu inafikia mda hata mashine inazima kabisa
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu nimetoa penzi kwa shemeji yangu bila kutongozwa, imeniuma sana

    Jaalia ilikua ni ndoto tu jipange vizuri na mitihani yako achana na mashetani weka pombe pembeni angalia maisha yako dada
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mitindo hatari wakati wa mapenzi kwa wanaume

    Sio kifo cha mende turn hata mbuzi kagoma kwenda pia uko poa
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kuendekeza ofa kutawamaliza wanawake

    Nashangaa unapanic kwa mambo madogo tu ndugu .
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tizama waandishi wa Uganda Wanavyomuandika Diamond

    Love doesn't matter age or tribes
  10. S

    JamiiForums Tanzania Serikali Imelifungia Shindano la Miss Tanzania kwa Miaka Miwili

    Kwasisi wengine bora lifungwe kabisa
  11. S

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

    Bila kumsahau Ali haji maneti aliekufa kwa ngoma
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mtoto anaezaliwa bila ndoa ni haram?

    Huyu sio mtoto Wa haramu bali huitwa mtoto wa zinaa ,anaweza zaliwa mtoto ndani ya ndoa name akawa wa haramu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mabomu ya machozi yanarindima Ifakara sasa hivi

    Hii sio nchi ni kaburi
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mahari yaniachisha na mke wangu

    Hawakutaki mkuu wanakutolea kijituuzima elewa givo ndugu
  15. S

    JamiiForums Tanzania SEPON Limited: Tunaunga umeme wa Solar kwa gharama nafuu

    Nashukuru sana mkuu kwa ufafanuzi wako umenipa pakushika
Back
Top Bottom