Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,051
- 5,952
Nipo Ifakara, stendi ya Mlimba, polisi wanapiga mabomu ya machozi baada ya makundi ya vijana 'kuvamia' kituo kikuu cha polisi kushinikiza kuachiwa Diwani wa Kata ya Ifakara (Chadema).
Chanzo cha kukamatwa kwa Diwani sijakifahamu.
Source: Mimi mwenyewe.
Vv
Chanzo cha kukamatwa kwa Diwani sijakifahamu.
Source: Mimi mwenyewe.
Vv