naona wengi wamekufa kwa DAWA lakini pia wengi wanaendelea kutumia
ngwair,sharo,kanumba,langa,aisha madinda.......duuuh hamna mbongo
duuuh hamna mbongo
Yaani mpaka page ya 3 ya michango ya huu uzi hakuna aliyemkumbuka Edward Moringe Sokoine! Aliyekuwa Waziri mkuu wa Tanzania, alifariki kwa ajali ya gari akitokea Dodoma tarehe 12 April 1984. Alikuwa na miaka 46 wakati anafariki.
Bila kumsahau Ali haji maneti aliekufa kwa ngoma
9.Princess Diana, miaka 36.
Alikuwa ni mke wa mtoto wa
Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa
ajali ya gari, wengi wanashuku
ajali hiyo ilipangwa.9.Princess Diana, miaka 36.
Alikuwa ni mke wa mtoto wa
Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa
ajali ya gari, wengi wanashuku
ajali hiyo ilipangwa........
........ Huyu princess Diana alikufa kwa ajali ya gari wakat akiwakimbia mapaparazi nchini ufaransa aligonga nguzo ya umeme. Hyo ni baada ya kuachana na mtoto wa malkia na kujiingiza kwenye mahusiano na jamaa flan hvi japo sikumjua vizr aliyekuwa anamchukua kwa kipind hicho
Yesu_Miaka 33
Peter tosh(The stepping razor), Lucky Dube, Senzo, Fanuel Sedekia, Angela Chibalonza, Emachichi