Recent content by Suleiman mathias

  1. S

    JamiiForums Tanzania Siyo bunge lote,bali ni kamati ya CCM na washirika walipitisha muswaada wa kodi ya simu

    Nashangaa sana Naibu waziri wa mawasiliano Mh Makamba akiibuka sasa kwa nguvu zote kujitetea na kulaumu wabunge wote kuwa walipitisha huo mswaada,Je umesahau kuwa ni wabunge wa CCM na washirika ndio mliopitisha huo Muswaada wa kodi? Kwanini hukuishauri serikali kabla ya huo muswaada haujaja...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa JK walisoma history?

    Ndg wana jamvi kwanza nianze kwa kuwatakia ndugu zangu wote walio kwenye mfungo ramadhani njema,sisi sote ni ndugu na kwa wale ambao hamjafunga muonyeshe ushirikiano kwa wenzenu ili tudumishe amani na mshikamano. Nirudi kwenye mada, kwanza kwa wale wanafunzi wa form one ukimuuliza what is...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Dr Kitila Mkumbo amwanika Mwigulu Nchemba

    Mwaka huu Nchemba atalioga
  4. S

    JamiiForums Tanzania Dk. Chegeni ampinga Nape suala la urais kupitia CCM

    Tatizo la maccm ndio hilo mtu akisema ukweli ataitwa majina yote mabaya na kuwekwa kwenye makundi,nampongeza Dr chegeni kwa kuwa mzalendo na kusema kwa uwazi bila hofu,ni kiongoI shupavu asiye na makundi pamoja na maadui zake kumwandama lakini amesimamia kweli
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kilichomtokea Dr Mwakyembe ndicho kilichomtokea SUGU.

    That is true aliwashika sana wakabaki uchi
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti hii tunawakomboa vijana?

    Jana waziri wa habari,vijana,utamaduni,na michezo mh. Mkangara alisoma bajeti ya wizara yake lakini pesa za maendeleo ni milion mia sita tu wakati matumizi ya kawaida ni bilion Ishirini, Hebu angalia wizara iliyobeba nguvu kazi ya taifa yaani vijana,weka habari,utamaduni bila kusahau michezo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Matajiri wa Arusha, Kilimanjaro wanakufa?

    Ndg yangu katulanda sioni kwanini tujadili hili wakati vifo vyao havina walakini bali vyote vinatokea kama vifo vya kawaida,kungekuwa na walakini tungejikita kujadili lakini sasa hebu tujadili mustakabali wa taifa letu linalopoteza mwelekeo kila kukicha,tatizo nionalo mie tumekosa uzalendo ndio...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Lusinde: Tuondoe picha za wanyama kwenye fedha za Tanzania...

    Nyoka,sijui chura hawawezi kushusha thamani ya pesa yetu bali kitu kinachosababisha ni demand kubwa ya pesa za kigeni kwaajili ya manunuzi nje bila kufanya mauzo mengi nje ndio yanasababisha pesa yetu ishuke thaamani,namshangaa Mh. Lusinde pamoja na kukaa jirani na mchumi wa first class bungeni...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Juma Nkamia: Nazungumza na Mwenye Mbwa sio Mbwa!

    Mh. Nkamia kamwambia Mh. Sugu kuwa yeye hazungumzi na Mbwa bali anazungumza na mwenye Mbwa, Mbunge mmoja kaomba mwongozo ili afute kauli,mh Nkamia kasema huyo anayeomba mwongozo hana uelewa kwahiyo hawezi kufanya hiyo,dah mwaka huu tutashuhudia mengi humu mjengoni,hebu wana jamvi tujadili je ni...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yapeleka kesi ya Lwakatare 'chamber court'

    Baadae tutakuja kuambiwa hamna ushahidi wa kutosha kwenye suala hili hivyo wameifuta,hii nchi ya ajabu sana sijui tunapelekwa wapi na hawa watawala wetu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Lusinde: Tuondoe picha za wanyama kwenye fedha za Tanzania...

    Akichangia ktk bajeti ya waziri mkuu kaanza kuponda Mh. Mbowe, Kasema kuna watu wana mimba zisizotarajiwa bungeni,anasema chadema wamepata pesa nje kufanya hayokama kawaida yake kaporomosha matusi na kusema eti wao waachiwe kazi hiyo kazi wao wanaimudu kupambana na wapinzani,kahamia kwenye pesa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kutoka 'kusemwa' hadi 'kusema'

    Lazima watambue kuwa haki haipotei bali ccm wanaichelewesha tuu.
  13. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yazidi Kujikoroga mwaka 2013

    Kwanza unapojiita great thinker then unakuja na uzi wa namna hii kwanza wewe ndio unayewagawa watanzania sio chama kwani kila chama kinaendeshwa na katiba yake na misingi yake,hebu jaribu basi kuwa na uchungu na hii nchi na wajukuu zako wakija wakute kitu,wale waliokaa miaka zaidi ya 50...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Ikiwa Bwana yuko upande wetu nani atasimama dhidi yetu?je ni police?majaji?au ccm?
  15. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, kwanini mlipokea pesa za mtoto wa Laila Odinga na katibu wa Odinga huko Mwanza?

    Ndg Ritz kwanza huna data kamili juu ya hilo,hakuja mtoto wa Raila bali alikuja Bwana Omondi na rafiki yake tu,hakuna ubaya kuchangia elimu ili watoto wa maskini waweze kupata elimu bora kwani nyie pesa mnaenda kuzificha Uswis ili watoto wenu wasome huko wakati watoto wa maskini wakiendelea...
Back
Top Bottom