CHADEMA Yazidi Kujikoroga mwaka 2013

CHADEMA Yazidi Kujikoroga mwaka 2013

He ukabila?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ukweli mtupu ingawa utapokelewa na matusi kutoka kwa watu walikunywa maji ya bendera ya CHAFISAMBO kupitia Chagga Development Manipulation

KHERI ww ulie kunywa maji ya JANI LA TUMBAKU,TWA WA ACHA WAFU MZIKANE WENYEWE
 
CHADEMA imeanza mwaka 2013 pasipo mashiko wala dira ya waendako. Hali hii ni faida kwa watanzania kwa vile imetupa fursa ya kupata kutambua uwezo wa viongozi wa CHADEMA kuhusiana na maendeleo ya nchi yetu.
Leo ni siku ya tano, Januari 2013 viongozi wao wamekuja na kauli zinazothibitisha ufinyu na uwezo mdogo waliokuwa nao;-
1. Kamati ya Utendaji CHADEMA iliirukia HUTOBA ya Rais JK kuwa amefanya kosa kutoa ratiba ya mchakato wa kuelekea KATIBA MPYA; leo wameumbuliwa na Jaji Warioba.
2. Mbowe katoa kauli ya kumuunga mkono Dr.Slaa kuwa mgombea wa Urais kupitia chama chao 2015; kauli ambayo imethibitisha ukosefu wa demokrasia ndani ya chama chao pamoja na kuwepo kwa mwenyekiti asiyejua mipaka ya kutoa kauli.
3. Leo Kikao cha BAVICHA kimekuja na fungua mwaka ya KUUNGA MKONO Madai ya Watu wa Mtwara yanayoonyesha kuvunja UTAIFA;

Hiki chama hakina muono wa mbali badala yake wamekuwa hodari wa kurukia hoja kila kukicha!

Tunahitaji vita kama Rwanda kuondoa watu kama wewe
 
Hizi gongo za kunywa kabla ya kulala huwa ni mbaya alafu ukute hauna usingizi huku kichwan una mawazo ya kucheleweshewa posho za lumumba.
 
Tatizo kubwa CCM wamewatuma watu wao waingine kwenye mitandao kama huu na kuweka pumba zao bila kujua wanaweka nini. Lakini sishangai akili yako ndo maana bado unashabikia CCM. Watu kama nyie ndo mnatufanya Waafrika tuonekane mabwege
 
Hayo ni mawazo yako, kwa hiyo hii kwangu siyo issue!
 
kajipange tena uje na thread nyingine , ulidhani warioba ataacha kumsapoti bossi wake aliye mpa ulaji, na kuhusu gesi ulitataka waambiwe kuwa wananchi wa mtwara na lindi ni WAPUUZI na WAHAAINI, kajipange kijana
 
CHADEMA imeanza mwaka 2013 pasipo mashiko wala dira ya waendako. Hali hii ni faida kwa watanzania kwa vile imetupa fursa ya kupata kutambua uwezo wa viongozi wa CHADEMA kuhusiana na maendeleo ya nchi yetu.
Leo ni siku ya tano, Januari 2013 viongozi wao wamekuja na kauli zinazothibitisha ufinyu na uwezo mdogo waliokuwa nao;-
1. Kamati ya Utendaji CHADEMA iliirukia HUTOBA ya Rais JK kuwa amefanya kosa kutoa ratiba ya mchakato wa kuelekea KATIBA MPYA; leo wameumbuliwa na Jaji Warioba.
2. Mbowe katoa kauli ya kumuunga mkono Dr.Slaa kuwa mgombea wa Urais kupitia chama chao 2015; kauli ambayo imethibitisha ukosefu wa demokrasia ndani ya chama chao pamoja na kuwepo kwa mwenyekiti asiyejua mipaka ya kutoa kauli.
3. Leo Kikao cha BAVICHA kimekuja na fungua mwaka ya KUUNGA MKONO Madai ya Watu wa Mtwara yanayoonyesha kuvunja UTAIFA;

Hiki chama hakina muono wa mbali badala yake wamekuwa hodari wa kurukia hoja kila kukicha!
Tatizo kubwa CCM wamewatuma watu wao waingine kwenye mitandao kama huu na kuweka pumba zao bila kujua wanaweka nini. Lakini sishangai akili yako ndo maana bado unashabikia CCM. Watu kama nyie ndo mnatufanya Waafrika tuonekane mabwege
 
CHADEMA imeanza mwaka 2013 pasipo mashiko wala dira ya waendako. Hali hii ni faida kwa watanzania kwa vile imetupa fursa ya kupata kutambua uwezo wa viongozi wa CHADEMA kuhusiana na maendeleo ya nchi yetu.
Leo ni siku ya tano, Januari 2013 viongozi wao wamekuja na kauli zinazothibitisha ufinyu na uwezo mdogo waliokuwa nao;-
1. Kamati ya Utendaji CHADEMA iliirukia HUTOBA ya Rais JK kuwa amefanya kosa kutoa ratiba ya mchakato wa kuelekea KATIBA MPYA; leo wameumbuliwa na Jaji Warioba.
2. Mbowe katoa kauli ya kumuunga mkono Dr.Slaa kuwa mgombea wa Urais kupitia chama chao 2015; kauli ambayo imethibitisha ukosefu wa demokrasia ndani ya chama chao pamoja na kuwepo kwa mwenyekiti asiyejua mipaka ya kutoa kauli.
3. Leo Kikao cha BAVICHA kimekuja na fungua mwaka ya KUUNGA MKONO Madai ya Watu wa Mtwara yanayoonyesha kuvunja UTAIFA;

Hiki chama hakina muono wa mbali badala yake wamekuwa hodari wa kurukia hoja kila kukicha!

Tatizo ni wewe na ccm mnapojikoroga, mnataka kusukuma mkoroganyo yenu kwa CHADEMA. Mwaka huu tupeni mikorogo yenu CUF ambao ndio wamo nguoni mwenu.!

CHADEMA MBELE DAIMA!.

Pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
CHADEMA imeanza mwaka 2013 pasipo mashiko wala dira ya waendako. Hali hii ni faida kwa watanzania kwa vile imetupa fursa ya kupata kutambua uwezo wa viongozi wa CHADEMA kuhusiana na maendeleo ya nchi yetu.
Leo ni siku ya tano, Januari 2013 viongozi wao wamekuja na kauli zinazothibitisha ufinyu na uwezo mdogo waliokuwa nao;-
1. Kamati ya Utendaji CHADEMA iliirukia HUTOBA ya Rais JK kuwa amefanya kosa kutoa ratiba ya mchakato wa kuelekea KATIBA MPYA; leo wameumbuliwa na Jaji Warioba.
2. Mbowe katoa kauli ya kumuunga mkono Dr.Slaa kuwa mgombea wa Urais kupitia chama chao 2015; kauli ambayo imethibitisha ukosefu wa demokrasia ndani ya chama chao pamoja na kuwepo kwa mwenyekiti asiyejua mipaka ya kutoa kauli.
3. Leo Kikao cha BAVICHA kimekuja na fungua mwaka ya KUUNGA MKONO Madai ya Watu wa Mtwara yanayoonyesha kuvunja UTAIFA;

Hiki chama hakina muono wa mbali badala yake wamekuwa hodari wa kurukia hoja kila kukicha!

Nenda kamsaidie mwigulu kutafuta CD.
 
Kwanza unapojiita great thinker then unakuja na uzi wa namna hii kwanza wewe ndio unayewagawa watanzania sio chama kwani kila chama kinaendeshwa na katiba yake na misingi yake,hebu jaribu basi kuwa na uchungu na hii nchi na wajukuu zako wakija wakute kitu,wale waliokaa miaka zaidi ya 50 madarakani si wameuza kila kitu kwa wazungu?si bora hiki kidogo tulichonacho watu wa mtwara waking'ang'anie angalau tunaweza kufaidi kuliko gesi iende mtwara wasafirishe kiulaini kwenda nje?
 
Ni upuuzi kujadili thread kama hizi wakati pembe za ndovu zilikamatwa tena Hong kong wiki mbili zilizopita.
 
Ni hii bavicha iliyokosa dira ndio imekuja na tamko la ukanda, ilikuwa kaskazini sasa imehamia kusini, yangu macho
 
Tanzania ni moja bila kujali kanda anayotoka mtu wala kabila lake, wote tuamini hivyo na kuenende kauli mbiu hiyo
 
ben saanane kawaharibia pozi aisee... na bado... litawashuka!
 
jamani,hvi ili hoja kutolewa na kusikika bila matusi ilikwisha shindikana??na hasa watu wanapodiscuss uchadema na uccm humu ndani,kwa bahati mbaya wengi wa watu wanaopost humu ndani ni either viongozi au wana ndoto za kuongoza kwenye ngazi tofauti kwa madai ya kua vijana na kuleta fikra mpya katika kukabiliana na changamoto za dunia ya leo.kila m2 anajua upinzani nchi hii haukuanza jana wala juzi,vijana walikuwepo tangu zamani hata mwl nyerere pia kuna wakati alikua kijana pamoja na viongozi wote wa upinzani,hvi mbna me sijawahi kuckia wakitukanana eti kwa sababu tu ya itikadi zao za vyama??hoja ikija mezani sisi tunaojiita vijana wasomi 2naonesha ni kwa jinsi gani hatuna nguvu ya hoja,hvi kama tunashindwa kujadili hoja ndogo hizi kweli tutaweza kujadili mustakabali wa taifa hili??nyerere alikua na uchungu wa kweli na taifa hili na alikua akikemea mambo mengi lakini ckuwahi kumckia aki2kana ma2si ya nguoni.vijana tunautaka uongozi bila kujua maana yake,2mekua watu wa kubebeshwa mizigo ya hoja ili turopoke bila kujua uzito na madhara yake,2mefundishwa kuchukiana bila sababu,sasa tunabebeshwa hoja ya violance eti ndio itakayoleta mabadiliko bila kujua hasa ni mabadiliko yapi hasa 2nahitaji...vijana 2naharaka na maisha tunataka kuendesha magari punde baada ya kupata shahada zetu,tunanataka mambo makubwa ya kuiga,sio mbaya kutamani mafanikio lakini leo kijana anamaliza degree yake anafanya mambo mawili 2,kutembea kuomba kazi na kuangalia movie,eti nasubiri mchongo..fine..tukikaa two yrs bila kazi mzigo wa lawama 2naitupia serikali kwa nguvu zikifuatiwa na hoja za kisiasa..hvi jamani kina eric shigongo,ruben ndege,kusaga,martin kadinda na wengine wengi hawatoshi kua mifano ya vijana waliomake it from zero??hvi mabadiliko ya nchi yatakuja kwa wote cc kua wanasiasa??hvi ni kweli tukilalamika na kubadilisha vyama ndo viongozi watabadilisha hali ya nyumbani kwa mama zetu??hvi kweli tunaamini kuna m2 atakuja kukupa wewe ajira na mshahara wa kukidhi mahitaji zetu??hvi ni kweli tumegeuzwa mtaji wa siasa za kuwavusha baadhi ya watu kuwafikisha wanapotaka huku 2kisubiri wageuke kutuvuta na cc??kweli wasomi sisi tumeshindwa kutambua kua sasa ni wakati wa kutimiza ndoto??je ni kweli ndoto zetu zitatimia kwa kukubali kutumiwa huku tukifa na kuwaacha walio2somesha na kututegemea??vijana ha2na spirit ya kihustler,2mekua wavivu,tumesahau kua elimu tunayopata dunia ya leo co kwa ajili ya ajira tena,we are not creative,mawazo yetu yamegandishwa na siasa uchwara za nchi hii wakati hao viongozi wanaopingana ni marafiki wakubwa,wamesoma wote,pombe wanakunywa wote,sis tunahubiri kuuana,we are so damn stupid..hatuwazi kua hawa wanao2chochea wamekwisha timiza sehemu kubwa ya ndoto zao,je wewe umetimiza hata moja??mwanao jee??nikiwaangalia vijana huwa natamani waujue ukweli lakini ni kama wamefunikwa na kitambaa cheusi..Tusipoteze muda kuwashabikia watu ambao hatuna hata uhakika ku mwaka 2015 watakua bado kwenye vyama vyao au watakua wamehama,hawa viongozi wanaopingana majukwaani hawana uhasama ambao wanataka sisi tuwe nao ni washkaji wakubwa hata wanawake zao ni mashoga..sasa sisi tunachukiana kwanini??tumecheza kombolela pamoja,kibaba mama pamoja,makida pamoja..leo hii vyama vitufanye tutukanane matusi,vyama vyenyewe hatujui mengi kuvihusu..2nayoyakua ni yale waliyo amua 2yajue,ha2jui makubaliano yao kwa sababu hata wakati vinaanzishwa hawakutuita sasa leo wanatuweka mbele 2pigane wao wakiwa wamelala na wake zao..na sisi tumekua majuha 2nakubali tena kwa hasira zote,hizi degree ze2 ni za kazi gani sasa??amka kijana timiza ndoto zako siasa utaikuta tu,utashabikia siasa haitokupa chochote,utakufa masikini kwa kuwategemea wanasiasa wabadilishe maisha yako,utakimbiwa na mkeo kwa kushindwa kum2nza,life iz too short wake up and go get your money hapo hata wanasiasa watakuheshimu!
 
Kuna kitu kimeanza kukosekana ndani ya CHADEMA kama chama ukilinganisha na CHADEMA ile ya 'jana'.

Mpaka hapo CHADEMA kama chama kitakapoangalia nyuma na kusoma utendaji wake wa wakati huo, CHADEMA kama chama kitaendelea kujikuta katika mingongano yenye kuashiria mgogoro/migogoro katika utendaji kichama kila kukicha.

Yes, something missing somewhere!!, huu ndiyo ukweli pamoja na kwamba CHADEMA kama chama wanakanusha lakini CHADEMA individual wanaelewa hili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom