Kijana wangu amechaguliwa kujiunga na kidatu cha tano tahasusi ya HGL
Nimepewa orodha ya vitabu.
Je vitabu gani yaniapasa kuvinunua kutoka katika orodha ambavyo atasoma navyo kidatu cha tano?
Nikiwa kama mpeleka maombi mahakama kuu kuhusu kesi ya madai
sasa sioni sababu ya kuendelea na kesi nataka kujitoa, Je nafanyaje? Na kesi bado haijaanza kusomwa.
NAOMBA MSAADA WENU NAMNA YA KUANDIKA BARUA AMA MAELEZO YA NAMNA YA KUJITOA
Mbunge mteule wa jimbo la singida mashariki ameapishwa!
Mjadala ulivyokuwa unaendelea ukihusu wizara ya maji,mbunge huyu alipata fursa ya kuuliza swali la nyongeza,lakini yeye hakuwa na swali Bali alikuwa na maombi ya kupatiwa sh Bln 2 ili tatizo la maji liwe limekwisha katika jimbo lake...
BREAK NEWS
Habari za hivi punde
Msafara wa wabunge wetu unao ongozwa na Makamu mwenyekiti CUF bara umezuiliwa na police usitoke nje ya newala Leo kuendelea na ziara ya ufunguzi wa matawi na vikao vya ndani ya chama ktk ratiba yake Leo kuelekea Tandahimba
Polisi mtaendelea kutumiwa na ccm hadi...
Mwenyekiti wa chama cha wananchi cuf prof ibrahim LIPUMBA leo amezindua kauli mbiu ya haki na furaha 2019/2020
lipumba akiambatana viongozi mbalimbali wa kitaifa aliwahutubia maelfu ya wanachama wa mkoa wa dar
Wale wanaosema cuf imekufa baada ya yule kiajuza cha zanzibar kwenda act hakika...
Jumamosi hii ya tah 22,saa 2 asubuhi pale kwenye ukumbi wa Diamond jubilee
Mwenyekiti wa CUF ambaye ni mwanasiasa msema kweli.
Prof Ibrahimu Lipumba atazindua sera ya furaha na demokrasia itakayozingatia misingi ya haki sawa kwa watu wote.
Hakika huu ni ubunifu na ni mpango wa kukiweka tayari...
Chama cha wananchi CUF kinawataarifu wanaCUF na Watanzania wote kwamba kesho,
Tah 15/6/2019
Saa 3 asubui
Yalipo makao makuu ya CUF-buguruni
Mwenyekiti wa CUF na bingwa wa masuala ya uchumi africa na duniani..Prof Ibrahim LIPUMBA ataongea na vyombo vya habari kwa maudhui ya kuichambua bajeti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.