Cuf yazindua kauli mbiu ya haki na furaha kibabe

Dec 22, 2017
51
18
Mwenyekiti wa chama cha wananchi cuf prof ibrahim LIPUMBA leo amezindua kauli mbiu ya haki na furaha 2019/2020
lipumba akiambatana viongozi mbalimbali wa kitaifa aliwahutubia maelfu ya wanachama wa mkoa wa dar

Wale wanaosema cuf imekufa baada ya yule kiajuza cha zanzibar kwenda act hakika wamekosea sana
na leo lipumba kalidhihirisha hilo.
IMG_20190622_122237.jpg
 
Back
Top Bottom