Lipumba kuzungumzia bajeti ya Serikali ya CCM kesho

Joined
Dec 22, 2017
Posts
54
Reaction score
24
Chama cha wananchi CUF kinawataarifu wanaCUF na Watanzania wote kwamba kesho,

Tah 15/6/2019
Saa 3 asubui
Yalipo makao makuu ya CUF-buguruni

Mwenyekiti wa CUF na bingwa wa masuala ya uchumi africa na duniani..Prof Ibrahim LIPUMBA ataongea na vyombo vya habari kwa maudhui ya kuichambua bajeti ya serikali ya CCM iliyosomwa hivi karibuni!

Ni uchambuzi wa kisomi na wa kitaaluma kutoka mwanauchumi
 
kuna kunguni mchumi wa kumlinganisha na lipumba nchi hii!!?
Wachumi Tanzania wapo, sina hakika kama Bwana Yule, bado ni profesa. Kama bado ni profesa amshukuru Mungu wake. Wachumi wapo tena wa kisasa wanaoenda na mabadiliko ya teknolojia.
 
unaandika ujinga usioeleweka
 
Chama cha wananchi CUF kinawataarifu wanaCUF na Watanzania wote kwamba kesho,

Tah 15/6/2019
Saa 3 asubui
Yalipo makao makuu ya CUF-buguruni

Mwenyekiti wa CUF na bingwa wa masuala ya uchumi africa na duniani..Prof Ibrahim LIPUMBA ataongea na vyombo vya habari kwa maudhui ya kuichambua bajeti ya serikali ya CCM iliyosomwa hivi karibuni!

Ni uchambuzi wa kisomi na wa kitaaluma kutoka mwanauchumi
Ina maana Waziri Mpango hakueleweka?Sie tutamsikiliza Mh.Zitto Kabwe leo.
 
Propesa Lipumbavu - Bingwa wa Masuala ya Uchumi Afrika na Duniani
 
Back
Top Bottom