Recent content by Suleiman Daudi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwa matukio haya ya Songea , ACT-Wazalendo ina kazi kubwa

    Act = ccm
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa hadhara Songea trh 10.04.2015

    Umaarufu wa Zitto umeshuka sana. ACT itakufa kifo cha asili baada ya uchaguzi wa 2015.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea

    Zitto ni Janga la Kitaifa
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mali za mtu zinapohojiwa baada ya kuwa na Mashtaka (Gwajima's scenario)

    Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Msiomjua Gwajima mnapoteza muda kumdiskasi. Comments nyingi humu ndani zimejaa umbea na hisia hisia tu. Mie bora niachane na mambo haya mara ooh Pengo mara ohh Gwajima aaaaa tuache bana kuongelea masuala ya watu binafsi. Hao polisi walikuwa wapi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Gwajima na Polisi: Ahojiwa kwa masaa matano, atakiwa kurudi wiki ijayo

    Aibu ya wanaomtesa Gwajima imekaribia sana.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    Pengo akichunguzwa mtamkuta na kadi ya CCM!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    Pengo amepotoka kama wagalatia. Mtume Paulo aliwachana live, hadharani kabisa Wagalatia akawaambia "enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga?" Pengo alipowageuka Maaskofu wenzake amekengeuka. Ikumbukwe kuwa yeye sio kiongozi wa kanisa letu Katoliki, Yeye sio Rais wa baraza letu la...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ajisalimisha kituo cha Polisi

    Kova anajishushia heshima bure, anafanya kazi ya siasa badala ya kulinda watu wenye albinism wasiuwawe anahangaika na vita ya Maaskofu heheheheh
  9. S

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ajisalimisha kituo cha Polisi

    Pengo amejitakia mwenyewe.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kikao cha CCM ikulu ya Dodoma muda huu kupitia mapendekezo ya PAC

    Ibara ya 52(1) ya Katiba ya JMT imempa Pinda Madaraka ya Kudhibiti, kusimamia na kutekeleza shughuli za kila siku za Serikali kwa niaba ya Rais. Swali ni je, Pinda alikuwa wapi siku zote asidhibiti ukwapuaji wa mabilioni ya Tegeta Escrow account wakati mgogoro wa bei baina ya IPTL na Tanesco...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kikao cha CCM ikulu ya Dodoma muda huu kupitia mapendekezo ya PAC

    Pinda kazoea kudai "Wapigwee tu" leo na yeye atapigwa tu.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kikao cha CCM ikulu ya Dodoma muda huu kupitia mapendekezo ya PAC

    Nadhani sio tu safari ya Pinda pekee CCM yenyewe Kama chama inapumulia mashine.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kikao cha CCM ikulu ya Dodoma muda huu kupitia mapendekezo ya PAC

    Watanzania wakiichagua CCM 2015 itadhihirika wazi wazi kuwa tumelogwa. Kasha ya Escrow inatosha kabisa kuiangusha CCM. Kama ilivyoandikwa "enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaloga?" Wagalatia 3:1 Sasa nauliza enyi Watanzania msio na akili ni nani aliyewaloga mpaka kashfa zinapita...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuizindua Helcopta ya Ufufuo na Uzima

    Mliopo Dar nendeni kwa Bishop Gwajima mkajionee uzinduzi wa Chopper. I wish I could be there nijionee hayo mambo makubwa!
  15. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuizindua Helcopta ya Ufufuo na Uzima

    Binafsi nampongeza sana Bishop Gwajima. Watanzania wachache kama yeye ni majasiri kufanya mambo makubwa makubwa.
Back
Top Bottom